Loading...

REPOA YAZINDUA MATOKEO YA NA FAIDA ZA UTUMAJI WA FEDHA KWA MTANDAO KATIKA KUMUWEZESHA MWANAMKE KIUCHUMI

Loading...
REPOA YAZINDUA MATOKEO YA NA FAIDA ZA UTUMAJI WA FEDHA KWA MTANDAO KATIKA KUMUWEZESHA MWANAMKE KIUCHUMI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa REPOA YAZINDUA MATOKEO YA NA FAIDA ZA UTUMAJI WA FEDHA KWA MTANDAO KATIKA KUMUWEZESHA MWANAMKE KIUCHUMI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : REPOA YAZINDUA MATOKEO YA NA FAIDA ZA UTUMAJI WA FEDHA KWA MTANDAO KATIKA KUMUWEZESHA MWANAMKE KIUCHUMI
link : REPOA YAZINDUA MATOKEO YA NA FAIDA ZA UTUMAJI WA FEDHA KWA MTANDAO KATIKA KUMUWEZESHA MWANAMKE KIUCHUMI

soma pia


REPOA YAZINDUA MATOKEO YA NA FAIDA ZA UTUMAJI WA FEDHA KWA MTANDAO KATIKA KUMUWEZESHA MWANAMKE KIUCHUMI

Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la uwezeshaji wa kiuchumi nchini(NEEC),Bengi Issa akizungumza wakati alipokuwa akifungua Warsha ya Faida za kumuwezesha Mwanamke kiuchumi kupitia mpango wa matumizi ya fedha kwa njia ya mitandao ya simu iliyofanyika katika ukumbi wa Tasisi ya utafiti nchini REPOA Jijini Dar es Salaam leo kwa kushirikiana na IDRC na TASAF.
Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya utafiti ya REPOA ,DK .Donald Mmari akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi ili aweze kufungua Warsha ya Faida za kumuwezesha Mwanamke kiuchumi kupitia mpango wa matumizi ya fedha kwa njia ya mitandao ya simu
Muwakilishi wa tasisi ya IDRC Kutoka nchini Canada ,Dr Arjan De Haan akizungumza na na wadau waliofika katika warsha hiyo namna taasisi yake ilivyohusika katika tafiti za kumuwezesha mwanamke kiuchumi kupitia mtandao wa simu.
Mtafiti kutoka Tasisi ya Utafiti ya REPOA , Dr.Abel Kinyondo akizungumza na wadau walioshiriki Warsha ya Faida za kumuwezesha Mwanamke kiuchumi kupitia mpango wa matumizi ya fedha kwa njia ya mitandao ya simu ambapo alipata fursa ya kuwaeleza wadau faida na changamoto ya huduma hiyo katika mradi wa TASAF.



Hivyo makala REPOA YAZINDUA MATOKEO YA NA FAIDA ZA UTUMAJI WA FEDHA KWA MTANDAO KATIKA KUMUWEZESHA MWANAMKE KIUCHUMI

yaani makala yote REPOA YAZINDUA MATOKEO YA NA FAIDA ZA UTUMAJI WA FEDHA KWA MTANDAO KATIKA KUMUWEZESHA MWANAMKE KIUCHUMI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala REPOA YAZINDUA MATOKEO YA NA FAIDA ZA UTUMAJI WA FEDHA KWA MTANDAO KATIKA KUMUWEZESHA MWANAMKE KIUCHUMI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/repoa-yazindua-matokeo-ya-na-faida-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "REPOA YAZINDUA MATOKEO YA NA FAIDA ZA UTUMAJI WA FEDHA KWA MTANDAO KATIKA KUMUWEZESHA MWANAMKE KIUCHUMI"

Post a Comment

Loading...