Loading...

SERIKALI YADHAMIRIA KUIMARISHA KAMPUNI YA TTCL

Loading...
SERIKALI YADHAMIRIA KUIMARISHA KAMPUNI YA TTCL - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YADHAMIRIA KUIMARISHA KAMPUNI YA TTCL, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YADHAMIRIA KUIMARISHA KAMPUNI YA TTCL
link : SERIKALI YADHAMIRIA KUIMARISHA KAMPUNI YA TTCL

soma pia


SERIKALI YADHAMIRIA KUIMARISHA KAMPUNI YA TTCL

SERIKALI ya Tanzania chini ya Rais Dk. John Pombe Magufuli, imedhamiria kuiimarisha Kampuni ya Simu nchini (TTCL) iIi iweze kuingia kwenye ushindani wa kibiashara dhidi ya makampuni mengine ya simu.
Hayo yamesemwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa shirika hilo, Waziri Kindamba alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya TTCL jijini Dar es Salaam.

Kindamba alisema hayo kufuatia Novemba 14, mwaka huu, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kujadili na kupitisha miswada ya mapendekezo ya mabadiliko ya sheria yanayofuta sheria iliyounda Kampuni ya Simu ya TTCL (Tanzania Telecomunication Company, Incoporation Act 2002) na kutunga sheria inayounda Shirika la Mawasiliano Tanzania (Tanzania Telecommunication Corporation Act 2017).

Aliongeza kuwa, kujadiliwa na kupitishwa kwa muswada huu bungeni kunafuatia hatua za awali za miswada ya serikali ambapo maoni ya wananchi na wadau wa huduma za mawasiliano yalikusanywa na kuchambuliwa.

Aidha, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu na Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni zilichambua muswada huu na kuutolea mapendekezo yao, ambapo Kindamba alisema mambo muhimu yanayotajwa katika sheria hiyo mpya ni pamoja na; Kuweka utaratibu utakaowezesha TTCL kutekeleza majukumu yake kama shirika la Umma. Kuweka jukumu la ujenzi, usimamizi na uendeshaji wa miundombinu ya kimsingi ya Taifa, Kuweka mazingira ya kinga ya mali (Asset) na miundombinu muhimu ya mawasiliano ya shirika na Kuanzishwa kwa shirika na kuainisha uongozi wa shirika.

Mambo mengine ni pamoja na Kuanisha vyanzo vya mapato na mtaji wa shirika, Kuanisha sheria zingine zitakazoguswa, Sheria kutumika pande zote za muungano na Kufuta kampuni ya simu Tanzania na kuanzisha shirika la mwasiliano Tanzania.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala SERIKALI YADHAMIRIA KUIMARISHA KAMPUNI YA TTCL

yaani makala yote SERIKALI YADHAMIRIA KUIMARISHA KAMPUNI YA TTCL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YADHAMIRIA KUIMARISHA KAMPUNI YA TTCL mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/serikali-yadhamiria-kuimarisha-kampuni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI YADHAMIRIA KUIMARISHA KAMPUNI YA TTCL"

Post a Comment

Loading...