Loading...

SHIRIKA LA POSTA LAFADHILI SHINDANO LA 'NATIONAL SPELLING BEE' TANZANIA

Loading...
SHIRIKA LA POSTA LAFADHILI SHINDANO LA 'NATIONAL SPELLING BEE' TANZANIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHIRIKA LA POSTA LAFADHILI SHINDANO LA 'NATIONAL SPELLING BEE' TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHIRIKA LA POSTA LAFADHILI SHINDANO LA 'NATIONAL SPELLING BEE' TANZANIA
link : SHIRIKA LA POSTA LAFADHILI SHINDANO LA 'NATIONAL SPELLING BEE' TANZANIA

soma pia


SHIRIKA LA POSTA LAFADHILI SHINDANO LA 'NATIONAL SPELLING BEE' TANZANIA

SHIRIKA lisilo la Kiserikali la Coconut Foundtion lenye Makao yake Makuu Kijitonyama Manispaa ya Kinondoni jijini Dar-es-Salaam, leo hii limewatangaza washindi kumi baada ya kumalizika kwa shindano la kutaja herufi sahihi ya sentensi za kiingereza, lililoanza Novemba 11.

Wahusika wa shindano hilo, walikuwa wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari (English Medium School). Shindano hilo lilikuwa na lengo la kuwajengea uwezo na kujiamini katika matumizi ya lugha ya Kiingereza.

Washindi hao wanatarajia kwenda kwenye mashindano hayo nchini Uganda mnamo mwezi Desemba mwaka huu, ambako mashindano hayo yatazijumuisha nchi za Afrika Mashariki.

Shirika la Posta Tanzania lilikuwa miongoni mwa wafadhili wa shindano hilo.
Afisa Masoko Mwandamizi wa Shirika la Posta Tanzania, Bw. Philip Kowero akimkabidhi cheti Mwalimu wa kutoka Shule ya Feza baada ya shule yao, kufanya vizuri katika shindano hilo. 
Afisa Masoko Mwandamizi wa Shirika la Posta Tanzania, Bw. Philip Kowero akimkabidhi cheti mmoja wa wanafunzi baada ya shule yake, kuwa moja ya shule zilizoshiriki na kufanya vizuri katika shindano hilo.  
Washindi wakiwa wamekaa na zawadi zao walizotunukiwa. 
Baadhi ya washindi wa shindano la Nationa Spelling Bee wakiwa katika picha ya pamoja wa katikati ni mshindi kutoka Shule ya Feza, Bw. Adnan Abdallah. Kulia kwake ni Prokrith Ghandi kutoka Shule ya Aga Khan na kushoto ni Bi. Jackline, jijini Dar-es-Salaam. 
Walimu kutoka Shule mbalimbali na wazazi wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washindi wa shindano la National Spelling Bee, lililofanyika katika ukumbi wa jumba la Makumbusho jijini Dar-es-Salaam. 



Hivyo makala SHIRIKA LA POSTA LAFADHILI SHINDANO LA 'NATIONAL SPELLING BEE' TANZANIA

yaani makala yote SHIRIKA LA POSTA LAFADHILI SHINDANO LA 'NATIONAL SPELLING BEE' TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA POSTA LAFADHILI SHINDANO LA 'NATIONAL SPELLING BEE' TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/shirika-la-posta-lafadhili-shindano-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHIRIKA LA POSTA LAFADHILI SHINDANO LA 'NATIONAL SPELLING BEE' TANZANIA"

Post a Comment

Loading...