Loading...
title : TAARIFA KUTOKA BODI YA MIKOPO(HESLB) KUHUSU UFAFANUZI KUHUSU SIFA NA TAKWIMU ZA UTOAJI MIKOPO KWA 2017-2018
link : TAARIFA KUTOKA BODI YA MIKOPO(HESLB) KUHUSU UFAFANUZI KUHUSU SIFA NA TAKWIMU ZA UTOAJI MIKOPO KWA 2017-2018
TAARIFA KUTOKA BODI YA MIKOPO(HESLB) KUHUSU UFAFANUZI KUHUSU SIFA NA TAKWIMU ZA UTOAJI MIKOPO KWA 2017-2018
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu sifa na taratibu za utoaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2017/2018. Taarifa hii inalenga kutoa ufafanuzi kufuatia maoni ya baadhi ya wadau kuwa baadhi ya waombaji mikopo wenye sifa wanakosa mikopo ya elimu ya juu.
i. Uyatima: Waombaji ambao wamefiwa na wazazi na hivyo kushindwa kumudu gharama za elimu ya juu. Kwa mwaka huu, waombaji yatima wanapaswa kuthibitisha uyatima wao kwa kuwasilisha vyeti vya vifo vya wazazi wao vilivyothibitishwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA);
ii. Wenye ulemavu: Waombaji wa mikopo wenye ulemavu wanapaswa kuambatisha barua kutoka kwa Mganga Mkuu wa Wilaya au Mkoa inayothibitisha ulemavu huo;
iii. Uduni wa kipato: Waombaji ambao wanatoka kwenye familia zenye vipato duni, miongoni mwao wakiwamo wale wenye barua za uthibitisho kuwa waliosomeshwa kwenye masomo yao kabla ya kujiunga na elimu ya juu;
Hivyo makala TAARIFA KUTOKA BODI YA MIKOPO(HESLB) KUHUSU UFAFANUZI KUHUSU SIFA NA TAKWIMU ZA UTOAJI MIKOPO KWA 2017-2018
yaani makala yote TAARIFA KUTOKA BODI YA MIKOPO(HESLB) KUHUSU UFAFANUZI KUHUSU SIFA NA TAKWIMU ZA UTOAJI MIKOPO KWA 2017-2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA KUTOKA BODI YA MIKOPO(HESLB) KUHUSU UFAFANUZI KUHUSU SIFA NA TAKWIMU ZA UTOAJI MIKOPO KWA 2017-2018 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/taarifa-kutoka-bodi-ya-mikopoheslb.html
0 Response to "TAARIFA KUTOKA BODI YA MIKOPO(HESLB) KUHUSU UFAFANUZI KUHUSU SIFA NA TAKWIMU ZA UTOAJI MIKOPO KWA 2017-2018"
Post a Comment