Loading...
title : TANZANIA YAPIGWA MSASA NA ISRAEL WA KUTANGAZA UTALII KIDIGITALI
link : TANZANIA YAPIGWA MSASA NA ISRAEL WA KUTANGAZA UTALII KIDIGITALI
TANZANIA YAPIGWA MSASA NA ISRAEL WA KUTANGAZA UTALII KIDIGITALI
Ziara ya kutembelea nchi ya Israel iliyoandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania na kuhususisha viongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii imeanza kuzaa matunda ambapo mtaalamu wa mfumo wa mawasiliano kutoka Israel, Dkt Norma Kortiat amewasili nchini kwa ajili ya kutoa mafunzo yanayohusiana na jinsi ya kutangaza utalii wa Tanzania kwa njia ya kidigitali “Digital Marketing”.
Mafunzo hayo yanategemewa kuwawezesha watumishi kuongeza ufanisi kwa wa kutumia teknologia mpya katika kuvitangaza vivutio vya utalii vya Tanzania. Mafunzo haya ya siku mbili yameanza leo tarehe 21-22 yanafanyika katika ukumbi wa mikutano wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam ambayo yanahudhuriwa na watumishi Kutoka Idara ya Utalii , Bodi ya Utalii, Mamlaka ya Wanyama Pori,Mamlaka ya Hifadhi za Taifa, Mamlaka ya Bonde la Ngorongoro, Wakala wa Huduma za Misitu na kamisheni ya Utalii Zanzibar.
Dkt. Noam Koriat akitoa mafunzo kwa watumishi wa Wizara ya Utalii na Taasisi zake katika ukumbi wa mikutano wa Makumbusho ya Taifa, jijini Dar es salaam.
Baadhi ya Watumishi wakimsikiliza Dkt. Noam Koriat wakati wa mafunzo.
Hivyo makala TANZANIA YAPIGWA MSASA NA ISRAEL WA KUTANGAZA UTALII KIDIGITALI
yaani makala yote TANZANIA YAPIGWA MSASA NA ISRAEL WA KUTANGAZA UTALII KIDIGITALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZANIA YAPIGWA MSASA NA ISRAEL WA KUTANGAZA UTALII KIDIGITALI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/tanzania-yapigwa-msasa-na-israel-wa.html
0 Response to "TANZANIA YAPIGWA MSASA NA ISRAEL WA KUTANGAZA UTALII KIDIGITALI"
Post a Comment