Loading...

TASWA FC YAIADHIBU POLISI FC MABAO 5-0 UWANJA WA UHURU

Loading...
TASWA FC YAIADHIBU POLISI FC MABAO 5-0 UWANJA WA UHURU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TASWA FC YAIADHIBU POLISI FC MABAO 5-0 UWANJA WA UHURU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TASWA FC YAIADHIBU POLISI FC MABAO 5-0 UWANJA WA UHURU
link : TASWA FC YAIADHIBU POLISI FC MABAO 5-0 UWANJA WA UHURU

soma pia


TASWA FC YAIADHIBU POLISI FC MABAO 5-0 UWANJA WA UHURU

  MSHAMBULIAJI wa Taswa Fc, Said Seif (kushoto) akiruka kumkwepa beki wa Polisi Fc, Andew Thomas, wakati wa mchezo wa kirafiki katika Maadhimisho ya 10 ya Mtandao wa Polisi yaliyoanza jana Nov 4 katika Uwanja wa Uhuru Dar esSalaam, yakitarajia kumalizika Nov 9 mwaka huu. Katika mchezo huo Taswa Fc ilishinda mabao 5-0. Picha na Muhidin Sufiani.


 DCP Mary Nzuki wa Jeshi la Polisi, akimkabidhi Ngao ya ushindi Nahodha wa Taswa Fc, Willbert Moland, baada ya Taswa kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Polisi katika mchezo wa kirafiki wa Maadhimisho ya 10 ya Mtandao wa Polisi yaliyoanza jana Nov 4 katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, yakitarajia kumalizika Nov 9 mwaka huu. Picha na Muhidin Sufiani.


Hivyo makala TASWA FC YAIADHIBU POLISI FC MABAO 5-0 UWANJA WA UHURU

yaani makala yote TASWA FC YAIADHIBU POLISI FC MABAO 5-0 UWANJA WA UHURU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TASWA FC YAIADHIBU POLISI FC MABAO 5-0 UWANJA WA UHURU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/taswa-fc-yaiadhibu-polisi-fc-mabao-5-0.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TASWA FC YAIADHIBU POLISI FC MABAO 5-0 UWANJA WA UHURU"

Post a Comment

Loading...