Loading...

Timu za Mchezo wa Baseball Zaagwa Leo

Loading...
Timu za Mchezo wa Baseball Zaagwa Leo - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Timu za Mchezo wa Baseball Zaagwa Leo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Timu za Mchezo wa Baseball Zaagwa Leo
link : Timu za Mchezo wa Baseball Zaagwa Leo

soma pia


Timu za Mchezo wa Baseball Zaagwa Leo

Mwenyekiti wa Heshima na mfadhili mkuu wa Timu ya Baseball Zanzibar Nd,Shimaoka wanne kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na wachezaji wa Timu ya Baseball wakati walipofika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kwa ajili ya kuagwa kuelekea kwenyemashindano ya mchezo huo yatakayofanyika Tanzania Bara ili kumtafuta bingwa wa Tanzania ambapo Timu 12 zinatarajiwa kushiriki,Zanzibar ikitoa Timu mbili.Mwanakwerekwe C na Mwenge Magharibi A.
Mwenyekiti wa Chama cha Baseball(ZABSA)Othman Ali Msabah akizungumza na Mwandishi mara baada ya kuagwa kuelekea kwenyemashindano ya mchezo huo yatakayofanyika Tanzania Bara ili kumtafuta bingwa wa Tanzania ambapo Timu 12 zinatarajiwa kushiriki,Zanzibar ikitoa Timu mbili.Mwanakwerekwe C na Mwenge Magharibi A.
Mwenyekiti wa Heshima na mfadhili mkuu wa Timu ya Baseball Zanzibar Nd,Shimaoka akizungumza na Mwandishi mara baada ya kuagwa kuelekea kwenyemashindano ya mchezo huo yatakayofanyika Tanzania Bara ili kumtafuta bingwa wa Tanzania ambapo Timu 12 zinatarajiwa kushiriki,Zanzibar ikitoa Timu mbili.Mwanakwerekwe C na Mwenge Magharibi A.
Mwenyekiti wa Heshima na mfadhili mkuu wa Timu ya Baseball Zanzibar Nd,Shimaoka akizungumza na Mwandishi mara baada ya kuagwa kuelekea kwenyemashindano ya mchezo huo yatakayofanyika Tanzania Bara ili kumtafuta bingwa wa Tanzania ambapo Timu 12 zinatarajiwa kushiriki,Zanzibar ikitoa Timu mbili.Mwanakwerekwe C na Mwenge Magharibi A.


Hivyo makala Timu za Mchezo wa Baseball Zaagwa Leo

yaani makala yote Timu za Mchezo wa Baseball Zaagwa Leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Timu za Mchezo wa Baseball Zaagwa Leo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/timu-za-mchezo-wa-baseball-zaagwa-leo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Timu za Mchezo wa Baseball Zaagwa Leo"

Post a Comment

Loading...