Loading...

UZALENDO KWANZA WAUNGANA NA MSAMA AUCTION MART KUTOKOMEZA KAZI FEKI ZA WASANII NCHINI.

Loading...
UZALENDO KWANZA WAUNGANA NA MSAMA AUCTION MART KUTOKOMEZA KAZI FEKI ZA WASANII NCHINI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UZALENDO KWANZA WAUNGANA NA MSAMA AUCTION MART KUTOKOMEZA KAZI FEKI ZA WASANII NCHINI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UZALENDO KWANZA WAUNGANA NA MSAMA AUCTION MART KUTOKOMEZA KAZI FEKI ZA WASANII NCHINI.
link : UZALENDO KWANZA WAUNGANA NA MSAMA AUCTION MART KUTOKOMEZA KAZI FEKI ZA WASANII NCHINI.

soma pia


UZALENDO KWANZA WAUNGANA NA MSAMA AUCTION MART KUTOKOMEZA KAZI FEKI ZA WASANII NCHINI.



Kikundi cha Uzalendo Kwanza ikishirikiana na Kampuni ya Msama Auction Mart wameamua kuungana kwa pamoja katika kutokomeza kazi Feki za Wasanii hapa nchini.

Uzalendo Kwanza kupitia kwa Mwenyekiti wake, Steve Nyerere wameungana na Msama Auction Mart pamoja na kushukuru juhudi zinazofanywa na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kwa kazi nzito wanayoifanya yakukamata Walanguzi wa kazi hizo.

Steve Nyerere amesema wafanyabiashara katika Maduka Makubwa ya Filamu vifaa vya Soka wanafanya biashara hizo lakini hawalipi Kodi, hivyo wanawapongeza Msama Auction na TRA kuunga mkono  jitihada zakutokomeza wizi huo.

"Wamejiajiri katika Taifa la Watanzania, wakipata faida kubwa, Kodi na Mapato makubwa yangepatikana", amesema Steve.Ameongeza kusema kuwa "Msama hatoshi, TRA peke yake hatoshi; Mhe. Rais hatoshi kama Wasanii wenyewe hatutounga mkono jitihada hizi".

Pichani kati ni Mwenyekiti wa kikundi cha Uzalendo Kwanza, Steve Nyerere akizungumza mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani),mapema leo jijini Dar,wakiunga mkono kampuni ya Msama Auction Mart pamoja  na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kwa kazi nzito wanayoifanya ya kukamata Walanguzi wa kazi za wasanii hapa nchini,kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Auction Mart ,Alex Msama.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Auction Mart ,Alex Msama akifafanua jambo alipokuwa akizungumza na waandishi mapema leo,namna wanavyoshiriki zoezi la kukamata kazi feki za Wasanii,sambamba na wakwepa kodi kupitia kazi wasanii.

Baadhi ya Wanahabari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza,alipokuwa akizunguma nao mapema leo jijini Dar,
,wakiunga mkono kampuni ya Msama Auction Mart pamoja  na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kwa kazi nzito wanayoifanya ya kukamata Walanguzi wa kazi za wasanii hapa nchini.


Baadhi ya Wasanii mbalimbali wa filamu hapa nchin walipokuwa wakifuatilia mkutano huo mapema leo jijini Dar.




Hivyo makala UZALENDO KWANZA WAUNGANA NA MSAMA AUCTION MART KUTOKOMEZA KAZI FEKI ZA WASANII NCHINI.

yaani makala yote UZALENDO KWANZA WAUNGANA NA MSAMA AUCTION MART KUTOKOMEZA KAZI FEKI ZA WASANII NCHINI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UZALENDO KWANZA WAUNGANA NA MSAMA AUCTION MART KUTOKOMEZA KAZI FEKI ZA WASANII NCHINI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/uzalendo-kwanza-waungana-na-msama.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UZALENDO KWANZA WAUNGANA NA MSAMA AUCTION MART KUTOKOMEZA KAZI FEKI ZA WASANII NCHINI."

Post a Comment

Loading...