Loading...
title : VIJANA MUUNGENI MKONO RAIS MAGUFULI AMEFANYA MAKUBWA - KUMBILAMOTO
link : VIJANA MUUNGENI MKONO RAIS MAGUFULI AMEFANYA MAKUBWA - KUMBILAMOTO
VIJANA MUUNGENI MKONO RAIS MAGUFULI AMEFANYA MAKUBWA - KUMBILAMOTO
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto akizungumza na umoja wa Vikundi vya Jogging Vingunguti mara baada ya kumaliza uasafi wa mwezi katika juhudi za kumuunga mkona Rais John Pombe Magufuli kuifanya Tanzania iwe s
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto, akiongoza zoezi la Usafi katika mtaa wa Miembeni kata ya Vingunguti kama agzio la Rais lilivyotaka kila Jumamosi ya Mwisho wa mwezi watu kufanya usafi
Afisa Ugavi wa Manispaa ya Ilala,Vicent Odero akitoa shukrani kwa umoja wa Vikundi vya Jogging Vingunguti kwa kujitokeza kwa wingi katika zoezi la usafi wa Mwisho wa Mwezi
Afisa usafishaji wa Manispaa ya ilala Cosmas Mwaitete akihahidi kuwaongezea vifaa zaidi vya kufanyia usafii umoja wa wakimbiaji mbio za pole Vingunguti
Mtangazaji wa kituo cha Radio cha east Afrika Zembwela akionyesha kwa vitendo namna ya kufanya usafi katika mitaa ya vingunguti mara baada ya kualikwa na Naibu Meya.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto, akitoa uchafu kwenye mitaro ya mitaa ya Vingunguti
Sehemu ya wana kikundi wakikimbia kabla ya kuanza kwa usafi wa mazingira kata ya Vingunguti
Hivyo makala VIJANA MUUNGENI MKONO RAIS MAGUFULI AMEFANYA MAKUBWA - KUMBILAMOTO
yaani makala yote VIJANA MUUNGENI MKONO RAIS MAGUFULI AMEFANYA MAKUBWA - KUMBILAMOTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VIJANA MUUNGENI MKONO RAIS MAGUFULI AMEFANYA MAKUBWA - KUMBILAMOTO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/vijana-muungeni-mkono-rais-magufuli.html
0 Response to "VIJANA MUUNGENI MKONO RAIS MAGUFULI AMEFANYA MAKUBWA - KUMBILAMOTO"
Post a Comment