Loading...
title : Ajali ya gari aina ya Toyota Noah Kilombero- Mikumi mkoani Morogoro
link : Ajali ya gari aina ya Toyota Noah Kilombero- Mikumi mkoani Morogoro
Ajali ya gari aina ya Toyota Noah Kilombero- Mikumi mkoani Morogoro
Wasamaria wema akiwemo Mwandishi wa habari na mpiga picha wa Kituo cha ITV , Mkoa wa Morogoro, Hussein Nuha wakitoa msaada wa kusaidia mmoja wa majeruhi ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja ambaye ni dereva wa gari Toyota Noah namba ya usajili T 782 DKV inayofanya safari zake mji wa Ruaha Kilosa - Mikumi baada ya gari hiyo kupinduka eneo la Kijiji cha Lumango, katika kona kali ya barabara ya Kilombero- Mikumi katika ajali hiyo hapakutokea kifo chochote na majeruhi wote takribani 10 walikimbizwa katika Hospitali ya St Kizito iliyopo Mikumi, wilayani Kilosa.
……………………………….
Mmoja wa majeruhi wa ajali akimsaidia kumbeba mwezake mama wa makamo wote majina yao hayakuweza kufahamika mara moja ambao walipata ajali baada ya gari Toyota Noah yenye namba ya usajili T 782 DKV inayofanya safari zake mji wa Ruaha Kilosa - Mikumi kupinduka eneo la Kijiji cha Lumango, katika kona kali barabara ya Kilombero- Mikumi , katika eneo la ajali hiyo hapa kuwa na kifo chochote na majeruhi takribani 10 walikimbizwa katika Hospitali ya St Kizito iliyopo Mikumi , wilayani Kilosa.( Picha na John Nditi).
Wasamaria wema akiwemo Mwandishi wa habari na mpiga picha wa Kituo cha ITV , Mkoa wa Morogoro, Hussein Nuha wakitoa msaada. Picha na John Nditi
Hivyo makala Ajali ya gari aina ya Toyota Noah Kilombero- Mikumi mkoani Morogoro
yaani makala yote Ajali ya gari aina ya Toyota Noah Kilombero- Mikumi mkoani Morogoro Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ajali ya gari aina ya Toyota Noah Kilombero- Mikumi mkoani Morogoro mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/ajali-ya-gari-aina-ya-toyota-noah.html
0 Response to "Ajali ya gari aina ya Toyota Noah Kilombero- Mikumi mkoani Morogoro"
Post a Comment