Loading...

WAKILI FEKI AKAMATWA-MAHAKAMA KUU-DIVISHENI YA ARDHI

Loading...
WAKILI FEKI AKAMATWA-MAHAKAMA KUU-DIVISHENI YA ARDHI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAKILI FEKI AKAMATWA-MAHAKAMA KUU-DIVISHENI YA ARDHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAKILI FEKI AKAMATWA-MAHAKAMA KUU-DIVISHENI YA ARDHI
link : WAKILI FEKI AKAMATWA-MAHAKAMA KUU-DIVISHENI YA ARDHI

soma pia


WAKILI FEKI AKAMATWA-MAHAKAMA KUU-DIVISHENI YA ARDHI

Mhe. Mahimbali anasema kuwa upande wa pili ambao unasimamiwa na Wakili Maros Gabriel kutoka Kampuni ya Sheria ya ‘Common Law Chambers’ ulimtilia shaka Bw. Jeremiah Ragita kama kweli ni Wakili ndipo alipofanya upekuzi kwenye Ofisi ya TLS na kuambiwa kuwa hawana jina hilo. 

Hata hivyo Mhe. Mahimbali alienda mbali na kumuandikia barua Msajili wa Mahakama Kuu (RHC) na kujibiwa kuwa hakuna Wakili aliyesajiliwa kwa jina hilo.

Kwa mujibu wa Naibu Msajili kesi hiyo ilipoitwa mbele ya Mhe. Jaji Crencesia Makuru, Wakili Maros alimueleza Mhe. Jaji kuwa mwenzake wa upande wa pili sio Wakili na kisha akatoa vielelezo kutoka katika Ofisi ya Msajili Mahakama Kuu na Ofisi ya TLS ndipo Bw. Ragita akakiri kuwa yeye si Wakili. 

Hata hivyo Bw. Ragita alikamatwa na kupelekwa Polisi Kituo cha Kati (Central Police) jijini Dar es Salaam kwa ajili ya hatua stahiki za kisheria.

Mahakama inapinga vikali vitendo vya ulaghai (Mawakili feki, vishoka) vinavyofanywa na baadhi ya Wananchi kwa lengo la kujipatia kipato.

(Imetolewa na Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano, Mahakama).
Bw. Jeremiah Ragita aliyejifanya kuwa Wakili akitokea Kampuni ya Sheria ya Faithful Attorney Advocates kwa mujibu wa Naibu Msajili, Mahakama ya Ardhi, Mhe. Frank Mahimbali anasema Wakili huyo feki alikamatwa mapema Novemba 08 katika Mahakama hiyo akimsimamia Mleta maombi Nunu Mhusin Mkwata.


Hivyo makala WAKILI FEKI AKAMATWA-MAHAKAMA KUU-DIVISHENI YA ARDHI

yaani makala yote WAKILI FEKI AKAMATWA-MAHAKAMA KUU-DIVISHENI YA ARDHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAKILI FEKI AKAMATWA-MAHAKAMA KUU-DIVISHENI YA ARDHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/wakili-feki-akamatwa-mahakama-kuu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAKILI FEKI AKAMATWA-MAHAKAMA KUU-DIVISHENI YA ARDHI"

Post a Comment

Loading...