Loading...

WAKUREGENZI WA HALMASHAURI 30 MATATANI

Loading...
WAKUREGENZI WA HALMASHAURI 30 MATATANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAKUREGENZI WA HALMASHAURI 30 MATATANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAKUREGENZI WA HALMASHAURI 30 MATATANI
link : WAKUREGENZI WA HALMASHAURI 30 MATATANI

soma pia


WAKUREGENZI WA HALMASHAURI 30 MATATANI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa (TAMISEMI)
Seleman Jafo
Wakurugenzi  wa Halmashauri 30 wametakiwa kujieleza kwa kushindwa kuwawezesha maofisa maendeleo jamii kufi ka mkutano wa 12 kujadili maendeleo ya jamii.
Katika mkutano huo wa kikazi wa maofisa hao, halmashauri zilizopeleka wajumbe ni 30 tu. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa (TAMISEMI), Selemani Jafo alisema kitendo cha wakurugenzi hao kinazuia nia njema ya Serikali ya kusukuma maendeleo kwa wananchi wake.
Alisema maofisa hao wana kazi nyingi za maendeleo ya wananchi na kutowawezesha katika mkutano ni kuwanyima maarifa mapya ya kazi na hasa kubadilishana uzoefu kati yao. Alisema serikali inawategemea maofisa hao kufanikisha miradi ya maendeleo hasa ile ya elimu na ufahamu kuzuia mitafaruku maeneo yao na kuhamasisha maendeleo ya jamii.
“Wananchi wana matarajio makubwa na serikali na mabadiliko hayawezi kuja bila kuwa na mabadiliko katika utendaji kazi,” alisema. Alisema kutokana na wajibu wao, serikali sasa inapiga marufuku maofisa hao kusimamia miradi ya Tasaf na Ukimwi pekee bali waandae mikakati ya kuwawezesha wananchi kutambua fursa na kutekeleza miradi ya maendeleo yao.
Waziri Jafo aliwataka maofisa maendeleo ya jamii kufanya kazi ya kupiga vita maovu katika jamii ikiwamo mauaji ya vikongwe na albino. Ofisa Maendeleo wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam Mwajuma Magwizu kwa niaba ya wenzake alisema watatekeleza maagizo waliyopewa kwa ufasaha ili kusukuma gurudumu la maendeleo mbele.Chanzo habari leo.


Hivyo makala WAKUREGENZI WA HALMASHAURI 30 MATATANI

yaani makala yote WAKUREGENZI WA HALMASHAURI 30 MATATANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAKUREGENZI WA HALMASHAURI 30 MATATANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/wakuregenzi-wa-halmashauri-30-matatani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAKUREGENZI WA HALMASHAURI 30 MATATANI"

Post a Comment

Loading...