Loading...

MUME WA IRENE UWOYA AFARIKI DUNIA

Loading...
MUME WA IRENE UWOYA AFARIKI DUNIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MUME WA IRENE UWOYA AFARIKI DUNIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MUME WA IRENE UWOYA AFARIKI DUNIA
link : MUME WA IRENE UWOYA AFARIKI DUNIA

soma pia


MUME WA IRENE UWOYA AFARIKI DUNIA

Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii kutoka nchini Rwanda, inaeleza kuwa mume wa zamani wa Muigizaji wa filamu nchini, Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo, Ndikumana ambaye alikuwa kocha msaidizi wa timu ya soka ya Rayon Sports ambayo inaongoza kwa kuwa na mashabiki wengi nchini Rwanda, amefikwa na mauti hayo akiwa nyumbani kwake mjini Kigali. 

kwa mujibu wa Uongozi wa timu hiyo umesema kuwa jana Ndikumana ambaye alionekana kuwa bado yuko fiti na haonyeshi dalili zozote za kuumwa alifanya mazoezi na wachezaji wake na baadaye kuagana na kurudi nyumbane kwake, ambapo wamepatwa na mshtuko baada ya kusikia amefariki Dunia. Haijajulikana kifo chake kimesababishwa na nini kwani hakuwa mgonjwa na wala hajapata ajali. 

Mwili wake umepelekwa monchwari ya kiislamu ya dispensari ya Rwampala kwa maombi ya familia yake kwani miili ya waislamu haihifadhiwi katika monchwari za kawaida kwa mujibu wa imani zao. Uwoya na Ndikumana walifunga ndoa mwaka 2009 na kujaaliwa kupata mtoto mmoja aitwaye Krish kisha wakaja kutengana mwaka 2013. 

 Mungu ampe malazi mema peponi - Amin


Hivyo makala MUME WA IRENE UWOYA AFARIKI DUNIA

yaani makala yote MUME WA IRENE UWOYA AFARIKI DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MUME WA IRENE UWOYA AFARIKI DUNIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/mume-wa-irene-uwoya-afariki-dunia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MUME WA IRENE UWOYA AFARIKI DUNIA"

Post a Comment

Loading...