Loading...

WANAFUNZI 250 WAPATA MAFUNZO YA GIRL GUIDES TEMEKE

Loading...
WANAFUNZI 250 WAPATA MAFUNZO YA GIRL GUIDES TEMEKE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANAFUNZI 250 WAPATA MAFUNZO YA GIRL GUIDES TEMEKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANAFUNZI 250 WAPATA MAFUNZO YA GIRL GUIDES TEMEKE
link : WANAFUNZI 250 WAPATA MAFUNZO YA GIRL GUIDES TEMEKE

soma pia


WANAFUNZI 250 WAPATA MAFUNZO YA GIRL GUIDES TEMEKE

 Baadhi ya  Girl Guides ambao ni wanafunzi kutoka Shule mbalimbali za Manispaa ya Temeke wakionesha moja ya alama muhimu za Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), baada ya kupata mafunzo ya awali  katika Shule ya Msingi Mbagala, Dar es Salaam leo. Wanafunzi wa kike 250 walishiriki mafunzo hayo yaliyoendeshwa na Kamishna wa TGGA Mkoa wa Temeke,  Leonida Komba ( wa tatu kushoto waliosimama)

Girl Guides hao walipata mafunzo kuhusu historia ya Girl Guides duniani, kanuni, malengo na madhumuni ya kuanzishwa kwake.

Pia hufundishwa ujasiri, ukakamavu, mambo ya uongozi, maadili, kujitolea pamoja na uzalendo.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Kamishna wa TGGA Mkoa wa Temeke, Leonida Komba (kushoto) akiwahamasisha Girl Guides wakati wa mafunzo hayo.
 Girl Guides wakiwa na furaha baada ya kupata mafunzo ya chama hicho kuhusu kanuni, historia ya Girl Guides Duniani, malengo na madhumuni yake.
Kamishna wa TGGA Mkoa wa Temeke, Leonida Komba (wa pili kulia waliosimama) akiwa na walimu ambao ni walezi wa Girl Guides wa shule walikotoka wanafunzi hao.


Hivyo makala WANAFUNZI 250 WAPATA MAFUNZO YA GIRL GUIDES TEMEKE

yaani makala yote WANAFUNZI 250 WAPATA MAFUNZO YA GIRL GUIDES TEMEKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANAFUNZI 250 WAPATA MAFUNZO YA GIRL GUIDES TEMEKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/wanafunzi-250-wapata-mafunzo-ya-girl.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANAFUNZI 250 WAPATA MAFUNZO YA GIRL GUIDES TEMEKE"

Post a Comment

Loading...