Loading...
title : WANAFUNZI ZAIDI YA 700 WAHITIMU MAFUNZO YAO CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE MNMA
link : WANAFUNZI ZAIDI YA 700 WAHITIMU MAFUNZO YAO CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE MNMA
WANAFUNZI ZAIDI YA 700 WAHITIMU MAFUNZO YAO CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE MNMA
--
Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 12 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Mkurugenzi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali ZanzibarMashavu Ahmad Fakir akihutubia wakati wa kutunuku vyeti kwa wahitimu wa Ngazi ya Shahada na Astashahada wa chuo hicho kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere , Prof . Shadrack Mwakalila akizungumza juu ya mipango ya chuo hicho wakati wa mahafali ya 12 yaliyofanyika katika jengo la utamaduni la MNMA Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 12 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Mkurugenzi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali ZanzibarMashavu Ahmad Fakir akikabidhi zawadi kwa Mwanafunzi aliyefanya vizuri katika mwaka wa masomo 2017
Baadhi ya wahitmu wa Shahada ya Maendeleo ya Jinsia ya MNMA Wakiwa wanasubiri kutunukiwa shahada zao wakati wa mahafali ya 12 ya Chuo hicho yaliyofanyika jijini Dare s Salaam
Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 12 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Mkurugenzi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mashavu Ahmad Fakir akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi waliofanya Vizuri
Hivyo makala WANAFUNZI ZAIDI YA 700 WAHITIMU MAFUNZO YAO CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE MNMA
yaani makala yote WANAFUNZI ZAIDI YA 700 WAHITIMU MAFUNZO YAO CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE MNMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANAFUNZI ZAIDI YA 700 WAHITIMU MAFUNZO YAO CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE MNMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/wanafunzi-zaidi-ya-700-wahitimu-mafunzo.html
0 Response to "WANAFUNZI ZAIDI YA 700 WAHITIMU MAFUNZO YAO CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE MNMA"
Post a Comment