Loading...
title : WASHINDI WA DROO YA TATU WA PROMOSHENI YA ZALI LA MWANASPOTI WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO
link : WASHINDI WA DROO YA TATU WA PROMOSHENI YA ZALI LA MWANASPOTI WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO
WASHINDI WA DROO YA TATU WA PROMOSHENI YA ZALI LA MWANASPOTI WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO
Afisa Masoko wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited, Huldermary Munisi(kushoto) akimkabidhi Fadhili Mahiche zawadi ya Pikipiki mara baada ya kuibuka msindi wa droo ya tatu ya Zali la Mwanaspoti inayoendelea nchini.Makabidhiano hayo yalifanyika katika katika tamasha lililofanyika Viwanja vya Toto tundu Tabata Dar es Salaam.
Kampuni ya Mwananchi Communications Limited(MCL), kupitia kampeni maalumu ya kazeti lake nguli la michezo la Mwanaspoti katika promosheni ya Zali la Mwanaspoti imekabidhi zawadi za washindi wa droo ya tatu wakati wa tamasha kubwa lililofanyika Viwanja vya Toto Tundu Tabata.
Zawadi zilizokabidhiwa ni pamoja na Tiketi ya kwenda kushuhudia Ligi Kuu ya Wingereza Ulaya ,Pikipiki moja, Tv 2, nchi 32, zikiwa na vingamuzi vyake vikiwa vimeunganishwa na kifurushi cha mwezi mzima pamoja na simu 2(Smartphone).
Afisa Masoko wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited, Huldermary Munisi(kulia) akimkabidhi Gogfrey Mpiluka zawadi ya Simu ya mkononi(Smartphone) mara baada ya kuibuka msindi wa droo ya tatu ya Zali la Mwanaspoti inayoendelea nchini.Makabidhiano hayo yalifanyika katika katika tamasha lililofanyika Viwanja vya Toto tundu Tabata Dar es Salaam.
Afisa Masoko wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited, Huldermary Munisi(kushoto) akimkabidhi Salvatory Mtenga zawadi ya TV nchi 32, ikiwa na king’amuzi cha Azamu kikiwa kimelipiwa mwezi mzima mara baada ya kuibuka msindi wa droo ya tatu ya Zali la Mwanaspoti inayoendelea nchini.Makabidhiano hayo yalifanyika katika katika tamasha lililofanyika Viwanja vya Toto tundu Tabata Dar es Salaam.
Afisa Masoko wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited, Huldermary Munisi(kushoto) akimkabidhi Joyce Eosmsiles zawadi ya Simu ya mkononi(Smartphone) mara baada ya kuibuka msindi wa droo ya tatu ya Zali la Mwanaspoti inayoendelea nchini.Makabidhiano hayo yalifanyika katika katika tamasha lililofanyika Viwanja vya Toto tundu Tabata Dar es Salaam.
Hivyo makala WASHINDI WA DROO YA TATU WA PROMOSHENI YA ZALI LA MWANASPOTI WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO
yaani makala yote WASHINDI WA DROO YA TATU WA PROMOSHENI YA ZALI LA MWANASPOTI WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WASHINDI WA DROO YA TATU WA PROMOSHENI YA ZALI LA MWANASPOTI WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/washindi-wa-droo-ya-tatu-wa-promosheni.html
0 Response to "WASHINDI WA DROO YA TATU WA PROMOSHENI YA ZALI LA MWANASPOTI WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO"
Post a Comment