Loading...
title : IGP SIRRO AFANYA ZIARA BANDARI YA DAR ES SALAAM
link : IGP SIRRO AFANYA ZIARA BANDARI YA DAR ES SALAAM
IGP SIRRO AFANYA ZIARA BANDARI YA DAR ES SALAAM
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati), akiwa ameongozana na kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani mkoa wa Kipolisi Kinondoni (ASP) Solomoni Mwangamilo (Kulia), alipofanya ziara bandari ya Dar es salaam kukagua magari 31 ya Jeshi hilo ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. John Pombe Magufuli, alielekeza kukabidhiwa kwa Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati) akimsikiliza kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani mkoa wa Kipolisi Kinondoni (ASP) Solomoni Mwangamilo (Kulia), alipofanya ziara bandari ya Dar es salaam kukagua magari 31 ya Jeshi hilo ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. John Pombe Magufuli, alielekeza kukabidhiwa kwa Jeshi la Polisi, kushoto ni Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa.
Hivyo makala IGP SIRRO AFANYA ZIARA BANDARI YA DAR ES SALAAM
yaani makala yote IGP SIRRO AFANYA ZIARA BANDARI YA DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AFANYA ZIARA BANDARI YA DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/igp-sirro-afanya-ziara-bandari-ya-dar.html
0 Response to "IGP SIRRO AFANYA ZIARA BANDARI YA DAR ES SALAAM"
Post a Comment