Loading...

WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA WADAU WA MASUALA YA AJIRA NA UKUZAJI UJUZI

Loading...
WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA WADAU WA MASUALA YA AJIRA NA UKUZAJI UJUZI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA WADAU WA MASUALA YA AJIRA NA UKUZAJI UJUZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA WADAU WA MASUALA YA AJIRA NA UKUZAJI UJUZI
link : WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA WADAU WA MASUALA YA AJIRA NA UKUZAJI UJUZI

soma pia


WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA WADAU WA MASUALA YA AJIRA NA UKUZAJI UJUZI

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akisisistiza jambo kwa wajumbe wa Kikao cha wadau wa masuala ya Ajira na Ukuzaji Ujuzi kilichofanyika Mjini Dodoma Novemba 7, 2017.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Bw. Erick Shitindi akisisitiza jambo kuhusu mkakati wa Serikali kuboresha mazingira ya Ajira hapa nchini walipokutana leo Mjini Dodoma katika kikao cha Wadau wa masuala ya Ajira na Ukuzaji Ujuzi.
 Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF Bw .Geodfrey Simbeye akisisitiza jambo wakati wa Kikao cha pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akisisitiza jambo kwa wajumbe wa Kikao cha kujadili masuala ya Ajira na Ukuzaji Ujuzi.
 Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa akichangia mada kuhusu ushiriki wa watu wenye ulemavu katika programu zinazotekelezwa na Serikali katika masuala ya Ajira na Ukuzaji Ujuzi ili kujikwamua kiuchumi.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA WADAU WA MASUALA YA AJIRA NA UKUZAJI UJUZI

yaani makala yote WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA WADAU WA MASUALA YA AJIRA NA UKUZAJI UJUZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA WADAU WA MASUALA YA AJIRA NA UKUZAJI UJUZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/waziri-mhagama-akutana-na-wadau-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA WADAU WA MASUALA YA AJIRA NA UKUZAJI UJUZI"

Post a Comment

Loading...