Loading...
title : Afya : Naibu Waziri, Dk. Ndugulile afanya ziara Mkoani Arusha
link : Afya : Naibu Waziri, Dk. Ndugulile afanya ziara Mkoani Arusha
Afya : Naibu Waziri, Dk. Ndugulile afanya ziara Mkoani Arusha
Naibu Waziri Wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile aliyevaa shati la drafti akiwajulia hali baadhi ya wagonjwa katika vituo vya afya katika Wilaya ya Meru wakati wa ziara yake mkoani Arusha.
Naibu Waziri Wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile wa pili kulia akisikiliza maelezo kutoka kwa Mganga Mkuu wa Wilaya ya Meru Dkt. Cosmas Kilasara wa kwanza kulia kwenye moja ya jengo la Hospitali ya Wilaya ya Meru mkoani Arusha.PICHA NA ALLY DAUD-WIZARA YA AFYA MERU ARUSHA
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Cha Maendeleo ya Jamii Tengeru TICD wakitoa chngamoto na maswali kwa Naibu Waziri Wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile hayupo pichani wakati alipotembelea chuo hiko katika ziara yake mkoani Arusha.
Naibu Waziri Wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile katikati akipata maelezo kutoka kwa mmoja ya mtumishi wa Chuo Cha Maendeleo ya Jamii cha Tengeru (TICD) wakati alipotembelea chuo hiko katika ziara yake mkoani arusha.
Naibu Waziri Wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile katikati akionyeshwa mpaka wa Chuo Cha Maendeleo ya Jamii Tengeru TICD wakati alipotembelea chuo hiko katika ziara yake mkoani Arusha
Baadhi ya Watumishi wa Chuo Cha Maendeleo ya Jamii Tengeru TICD wakimsikiliza kwa makini Naibu Waziri Wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile hayupo pichani wakati alipotembelea chuo hiko katika ziara yake mkoani Arusha.
Hivyo makala Afya : Naibu Waziri, Dk. Ndugulile afanya ziara Mkoani Arusha
yaani makala yote Afya : Naibu Waziri, Dk. Ndugulile afanya ziara Mkoani Arusha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Afya : Naibu Waziri, Dk. Ndugulile afanya ziara Mkoani Arusha mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/afya-naibu-waziri-dk-ndugulile-afanya.html
0 Response to "Afya : Naibu Waziri, Dk. Ndugulile afanya ziara Mkoani Arusha"
Post a Comment