Loading...

Airtel Yaleta ‘SMATIKA Na Yatosha Intaneti’ SMATIKA NA 1GB Siku Tatu Kwa 2000 Tu

Loading...
Airtel Yaleta ‘SMATIKA Na Yatosha Intaneti’ SMATIKA NA 1GB Siku Tatu Kwa 2000 Tu - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Airtel Yaleta ‘SMATIKA Na Yatosha Intaneti’ SMATIKA NA 1GB Siku Tatu Kwa 2000 Tu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Airtel Yaleta ‘SMATIKA Na Yatosha Intaneti’ SMATIKA NA 1GB Siku Tatu Kwa 2000 Tu
link : Airtel Yaleta ‘SMATIKA Na Yatosha Intaneti’ SMATIKA NA 1GB Siku Tatu Kwa 2000 Tu

soma pia


Airtel Yaleta ‘SMATIKA Na Yatosha Intaneti’ SMATIKA NA 1GB Siku Tatu Kwa 2000 Tu

‘SMATIKA NA 1GB Yatosha Intaneti inayokupa muda mrefu kwa gharama nafuu zaidi. 

Airtel Tananzania Mtandao bora kwa Smartphone yako imewapatia wateja wake uhuru zaidi kwa kuwaletea bando mpya za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ maalum kwa watumiaji wa huduma za intaneti. Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel Isack Nchuna wakati wa hafla ya kuzindua ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti, alisema “Airtel itaendelea kuleta huduma zenye ubora na ubunifu wa hali ya juu ili kuendelea kuwa sambamba na mahitaji ya wateja katika huduma za intaneti ambapo kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa Airtel imejiwekea mikakati endelevu mingi ili kukidhi uhitajika na wateja wote”

“Tuaendelea kudhihirisha dhamira yetu ya kutoa suluhisho la mawasiliano kupitia uzinduzi wa ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ kwa kutoa huduma nafuu ya Intaneti kwa watumiaji wote nchini huku tukiweka kipaumbele zaidi katika ubora wa mtandao pamoja na kuwapatia wateja uhuru zaidi” aliongeza Nchunda 

“SMATIKA na Yatosha Intaneti’ ni zawadi ya awali kabisa tunayowapatia watumiaji wa Airtel katika msimu huu wa sikukuu, tunaamini kuwa ndani ya msimu huu wa sikukuu wateja wanauhitaji mkubwa sana wa intaneti katika kukamilisha shamrasharna wakiwa wanawasiliana na ndugu, jamaa na marafiki wakati wote!”

Akifafanua zaidi Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania Bi Beatrice Singano alisema Bando za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ zinatoa uhuru kwa wateja wote wa airtel kujichagulia bando la intaneti KABAMBE wakati wowote.“Mteja wa Airtel ataweza kunufaika na SMATIKA na Yatosha Intaneti kwa gharama nafuu ya hadi shilingi 200 na kujipatia MB 40, vilevlie mteja ataweza KUSMATIKA NA 1GB ya Yatosha Intaneti kwa siku tatu mfululizo kwa shilingi elfu mbili tu” alieleza Bi Singano

“kujiunga na ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ unatakiwa kupiga *149*99# kisha chagua 5 Yatosha Intanet vilevile unaweza kujiunga kupitia Airtel Money kwa kupiga *150*60# kisha chagua Yatosha Intanet”.

Airtel Tanzania imekuwa katika programu ya uboreshaji wa miundombinu ya mawasiliano yake ili kukamilisha lengo lake la kutoa mawasiliano bora na yenye uhakika kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya U900. Tayari Airtel imezindua maboresho ya mtandao wake kwa kutumia teknolojia hiyo ya U-900 kwenye mikoa ya Arusha, Dar es salaam, Dodoma, Morogoro na Mwanza huku ikiendelea kuwahakikishia wateja wake mawasiliano bora hasa katika maeneo ya nje na ndani ya majengo marefu au yenye uhitaji zaidi.
Mkurugenzi wa Mawasiliano Airtel Tanzania Beatrice Singano – kulia akiongea jana wakati wa uzinduzi wa bando za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ mpya ambapo mteja wa Airtel itamuwezesha mteja wa Airtel KUSMATIKA NA GB 1 ya Yatosha Intaneti kwa siku tatu mfululizo kwa shilingi elfu mbili. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko Airtel Tanzania Isack Nchunda.
Mkurugenzi wa Mkurugenzi wa Masoko Airtel Tanzania Isack Nchunda – kushoto akiongea jana wakati wa uzinduzi wa bando za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ mpya ambapo mteja wa Airtel itamuwezesha mteja wa Airtel KUSMATIKA NA 1GB ya Yatosha Intaneti kwa siku tatu mfululizo kwa shilingi elfu mbili. Kushoto ni Mawasiliano Airtel Tanzania Beatrice Singano.
Mkurugenzi wa Masoko Airtel Tanzania Isack Nchunda na Mawasiliano Airtel Tanzania Beatrice Singano wakionyesha bango baada ya kuzindua bando za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ mpya ambapo mteja wa Airtel itamuwezesha mteja wa Airtel KUSMATIKA NA 1GB ya Yatosha Intaneti kwa siku tatu mfululizo kwa shilingi elfu mbili.


Hivyo makala Airtel Yaleta ‘SMATIKA Na Yatosha Intaneti’ SMATIKA NA 1GB Siku Tatu Kwa 2000 Tu

yaani makala yote Airtel Yaleta ‘SMATIKA Na Yatosha Intaneti’ SMATIKA NA 1GB Siku Tatu Kwa 2000 Tu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Airtel Yaleta ‘SMATIKA Na Yatosha Intaneti’ SMATIKA NA 1GB Siku Tatu Kwa 2000 Tu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/airtel-yaleta-smatika-na-yatosha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Airtel Yaleta ‘SMATIKA Na Yatosha Intaneti’ SMATIKA NA 1GB Siku Tatu Kwa 2000 Tu"

Post a Comment

Loading...