Loading...

ALICHOSEMA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA BAADA YA KUTEMBELEA MAPOROMOKO YA MTO KIMANI KATIKA PORI LA AKIBA MPANGA KIPENGELE

Loading...
ALICHOSEMA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA BAADA YA KUTEMBELEA MAPOROMOKO YA MTO KIMANI KATIKA PORI LA AKIBA MPANGA KIPENGELE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ALICHOSEMA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA BAADA YA KUTEMBELEA MAPOROMOKO YA MTO KIMANI KATIKA PORI LA AKIBA MPANGA KIPENGELE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ALICHOSEMA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA BAADA YA KUTEMBELEA MAPOROMOKO YA MTO KIMANI KATIKA PORI LA AKIBA MPANGA KIPENGELE
link : ALICHOSEMA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA BAADA YA KUTEMBELEA MAPOROMOKO YA MTO KIMANI KATIKA PORI LA AKIBA MPANGA KIPENGELE

soma pia


ALICHOSEMA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA BAADA YA KUTEMBELEA MAPOROMOKO YA MTO KIMANI KATIKA PORI LA AKIBA MPANGA KIPENGELE


Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (wa pili kushoto) akionyeshwa njia ya kuelekea kwenye maporomoko ya maji ya mto Kimani na Kaimu Meneja wa Pori la Akiba la Mpanga Kipengele, Stanslaus Odhiambo (katikati) alipotembelea maporomoko hayo katika Wilaya ya Makete Mkoani Njombe. Maporomoko hayo ambayo ni kivutio kikubwa cha utalii katika pori hilo yana urefu wa mita zaidi ya 70. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Reuben Mfune. 
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (wa pili kushoto) akionyeshwa maporomoko ya maji ya mto Kimani na Kaimu Meneja wa Pori la Akiba la Mpanga Kipengele, Stanslaus Odhiambo (katikati) alipotembelea maporomoko hayo jana katika Wilaya ya Makete Mkoani Njombe. Maporomoko hayo ambayo ni kivutio kikubwa cha utalii katika pori hilo yana urefu wa mita zaidi ya 70. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Reuben Mfune. 
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Reuben Mfune kwenda eneo la maporomoko ya maji ya mto Kimani ambayo yapo ndani ya Pori la Akiba la Mpanga Kipengele katika Wilaya ya Makete Mkoani Njombe. Maporomoko hayo ambayo ni kivutio kikubwa cha utalii katika pori hilo yana urefu wa mita zaidi ya 70
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (kushoto) akiangalia maporomoko ya maji ya mto Kimani alipotembelea Pori la Akiba la Mpanga Kipengele katika Wilaya ya Makete Mkoani Njombe. Maporomoko hayo ambayo ni kivutio kikubwa cha utalii katika pori hilo yana urefu wa mita zaidi ya 70.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (wa pili kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania, David Kanyata (kushoto) na baadhi ya wafanyakazi wa Pori la Akiba la Mpanga Kipengele alipotembelea  maporomoko ya maji ya mto Kimani ambayo yapo ndani ya pori hilo katika Wilaya ya Makete Mkoani Njombe. Maporomoko hayo ambayo ni kivutio kikubwa cha utalii katika pori hilo yana urefu wa mita zaidi ya 70
Maporomoko ya Maji ya Mto Kimani ambayo ni kivutio kikubwa cha utalii katika Pori la Akiba la Mpanga Kipengele katika Wilaya ya Makete mkoani Njombe. Maporomoko hayi yana urefu wa mita zaidi ya 70.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Reuben Mfune wakiangalia moja fuvu la mnyamapori katika moja ya pango ambalo ambalo Chief Mkwawa alilitumia kujificha wakati wa vita na wakoloni alipotembelea Pori la Akiba la Mpanga Kipengele katika Wilaya ya Makete Mkoani Njombe. 
Picha ya pamoja. (Picha na Hamza Temba)


Hivyo makala ALICHOSEMA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA BAADA YA KUTEMBELEA MAPOROMOKO YA MTO KIMANI KATIKA PORI LA AKIBA MPANGA KIPENGELE

yaani makala yote ALICHOSEMA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA BAADA YA KUTEMBELEA MAPOROMOKO YA MTO KIMANI KATIKA PORI LA AKIBA MPANGA KIPENGELE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ALICHOSEMA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA BAADA YA KUTEMBELEA MAPOROMOKO YA MTO KIMANI KATIKA PORI LA AKIBA MPANGA KIPENGELE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/alichosema-naibu-waziri-wa-maliasili-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ALICHOSEMA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA BAADA YA KUTEMBELEA MAPOROMOKO YA MTO KIMANI KATIKA PORI LA AKIBA MPANGA KIPENGELE"

Post a Comment

Loading...