Loading...
title : NIC YAMKABIDHI MAKAMU WA RAIS ZANZIBAR MILIONI 20 ZA BIMA YA MAISHA
link : NIC YAMKABIDHI MAKAMU WA RAIS ZANZIBAR MILIONI 20 ZA BIMA YA MAISHA
NIC YAMKABIDHI MAKAMU WA RAIS ZANZIBAR MILIONI 20 ZA BIMA YA MAISHA
Makamu wa pili wa Rais katika serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Alli Iddi akipokea mfano wa hundi ya malipo yake ya bima ya maisha iliyoiva kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Bw. Sam Kamanga. Sherehe hizo zilifanyika jana jumatano mjini Zanzibar mbele ya Baraza la Wawakilishi wakati wa mafunzo ya bima yaliyotolewa na timu ya wataalam kutoka Makao Makuu wakishirikiana na tawi la Zanzibar.Kwa kawaida bima ya maisha huiva baada ya miaka kumi. Wawakilishi Zanzibar Zuberi Ali Maulid.
Makamu wa pili wa Rais katika serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Alli Iddi kushoto akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Bw. Sam Kamanga. kbla ya kupokea hundi ya Shilingi milioni 20 kutoka kwa Mkurugenzi huyo baada ya bima ya Maisha ya Makamo huyo wa Rais kuiva.Sherehe hizo zilifanyika jumatano wiki hii mjini Zanzibar mbele ya Baraza la Wawakilishi katikati ni Spika wa Bunge la Wawakilishi la Zanzibar Zuberi Ali Maulid
Mtendaji wa NIC Bw. Sam Kamanga akizungumza katika hafla hiyo
Hivyo makala NIC YAMKABIDHI MAKAMU WA RAIS ZANZIBAR MILIONI 20 ZA BIMA YA MAISHA
yaani makala yote NIC YAMKABIDHI MAKAMU WA RAIS ZANZIBAR MILIONI 20 ZA BIMA YA MAISHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NIC YAMKABIDHI MAKAMU WA RAIS ZANZIBAR MILIONI 20 ZA BIMA YA MAISHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/nic-yamkabidhi-makamu-wa-rais-zanzibar.html
0 Response to "NIC YAMKABIDHI MAKAMU WA RAIS ZANZIBAR MILIONI 20 ZA BIMA YA MAISHA"
Post a Comment