Loading...

Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli atoa msamaha kwa Babu Seya na Familia yake

Loading...
Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli atoa msamaha kwa Babu Seya na Familia yake - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli atoa msamaha kwa Babu Seya na Familia yake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli atoa msamaha kwa Babu Seya na Familia yake
link : Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli atoa msamaha kwa Babu Seya na Familia yake

soma pia


Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli atoa msamaha kwa Babu Seya na Familia yake

Mwambawahabari 

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri Jeshi Mkuu, ametangaza msamaha kwa Nguza Viking maarufu kama Babu Seya na mwanaye Jonson Nguza (Papii Kocha) ambao waliofungwa maisha katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam na kutaka waachiwe huru mara moja kutoka gerezani.

“Tanzania tuna jumla ya wafungwa 39,000 ambapo wanaume ni 37,000 na wanawake 2,000.  Wafungwa waliohukumiwa wako 522 kati yao wanaume ni 503 na wanawake ni 19. Nimeamua kusamehe wafungwa 8157, ambapo baada ya msamaha huu wafungwa 1828 watatoka leo.

“Mfano wa watu niliowasamehe ni Mzee Mganga Matonya mwenye umri wa miaka 85 amekaa Gerezani miaka 37 na miaka 7 ya kukaa mahabusu. Nimeamua kusaheme familia ya Nguza Viking jina lingine anaitwa Babu Seya na Ndugu Johnson Nguza ama Papii Kocha.

“Nimeamua kuwasamehe wafungwa 61 waliokuwa wamehukumiwa kunyongwa. Lakini katika kuchunguzwa kwingi wapo wafungwa ambao wametubu dhambi zao, wamekiri makosa yao kwelikweli,” alisema Magufuli.

Mwaka 2003, Babu Seya na wanaye watatu walikamatwa na kufunguliwa mashtaka ya kubaka na kulawiti watoto wa Shule ya Msingi Mashujaa, mwaka 2004, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar iliwahukumu wote wanne kifungo cha maisha jela.

Baada ya hukumu hiyo, walikata rufaa lakini mwaka 2005, Mahakama Kuu iliridhia hukumu hiyo ya kifungo cha maisha jela kwa wote wanne kabla ya Mahakama ya Rufaa kuwaachia huru Mbangu na Chichi Februari 2010.


Hivyo makala Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli atoa msamaha kwa Babu Seya na Familia yake

yaani makala yote Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli atoa msamaha kwa Babu Seya na Familia yake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli atoa msamaha kwa Babu Seya na Familia yake mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/amiri-jeshi-mkuu-rais-magufuli-atoa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli atoa msamaha kwa Babu Seya na Familia yake"

Post a Comment

Loading...