Loading...
title : DC GONDWE:AWATAKA WAZAZI KOROGWE KUCHANGAMKIA MPANGO WA TOTO AFYA KADI
link : DC GONDWE:AWATAKA WAZAZI KOROGWE KUCHANGAMKIA MPANGO WA TOTO AFYA KADI
DC GONDWE:AWATAKA WAZAZI KOROGWE KUCHANGAMKIA MPANGO WA TOTO AFYA KADI
KAIMU Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Godwin Gondwe ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni mkoani Tanga akizungumza wakati wa uzinduzi wa mpango wa Toto Afya kadi uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya Msingi Mazoezi wilayani humo kushoto ni Meneja wa Mfuko wa Tafa wa Bima ya Afya mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu kulia ni Katibu Tawala wa wilaya ya Korogwe,Rehema Kwasi
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu akizungumza katika uzinduzi huo kulia ni Kaimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Godwin Gondwe ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni anaye fuatia ni Katibu Tawala wa wilaya ya Korogwe,Rehema Kwasi
Katibu Tawala wa wilaya ya Korogwe,Rehema Kwasi akizungumza wakati wa uzinduzi huo kushoto ni Kaimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Godwin Gondwe kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe,John Nyarongo.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Mji,Jumanne Shauri akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
Hivyo makala DC GONDWE:AWATAKA WAZAZI KOROGWE KUCHANGAMKIA MPANGO WA TOTO AFYA KADI
yaani makala yote DC GONDWE:AWATAKA WAZAZI KOROGWE KUCHANGAMKIA MPANGO WA TOTO AFYA KADI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC GONDWE:AWATAKA WAZAZI KOROGWE KUCHANGAMKIA MPANGO WA TOTO AFYA KADI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/dc-gondweawataka-wazazi-korogwe.html
0 Response to "DC GONDWE:AWATAKA WAZAZI KOROGWE KUCHANGAMKIA MPANGO WA TOTO AFYA KADI"
Post a Comment