Loading...
title : WASAMARIA WEMA WAKITOA MSAADA KWA MWENDESHA BODABODA
link : WASAMARIA WEMA WAKITOA MSAADA KWA MWENDESHA BODABODA
WASAMARIA WEMA WAKITOA MSAADA KWA MWENDESHA BODABODA
Wasamaria wema wakimsaidia mwendesha pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda yenye nambari MC307 BPG (jina halikupatikana) amabaye alidondoka chini baada ya kuganga kwa nyuma gari dogo aina ya Toyota RAV 4 nambari T924 BPG kwenye eneo la Kanisa Kuu Katoliki la Paulo wa Msalaba la Jimbo Kuu la Dodoma, Desemba 17, 2017. Wasamalilia Wema hao walimpeleka kwenye hospitali ya mkoa wa Dodoma kwa matibabu. (Picha na Hilary Bujiku wa Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WASAMARIA WEMA WAKITOA MSAADA KWA MWENDESHA BODABODA
yaani makala yote WASAMARIA WEMA WAKITOA MSAADA KWA MWENDESHA BODABODA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WASAMARIA WEMA WAKITOA MSAADA KWA MWENDESHA BODABODA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/wasamaria-wema-wakitoa-msaada-kwa.html
0 Response to "WASAMARIA WEMA WAKITOA MSAADA KWA MWENDESHA BODABODA"
Post a Comment