Loading...

Dk Salim atoa neno juu ya mgogoro wa Palestina na Israel

Loading...
Dk Salim atoa neno juu ya mgogoro wa Palestina na Israel - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Dk Salim atoa neno juu ya mgogoro wa Palestina na Israel, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Dk Salim atoa neno juu ya mgogoro wa Palestina na Israel
link : Dk Salim atoa neno juu ya mgogoro wa Palestina na Israel

soma pia


Dk Salim atoa neno juu ya mgogoro wa Palestina na Israel

Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Dk. Salim Ahmed Salim akizungumza na Kamati ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za Wapalestina katika mgogoro wao na taifa la Israel ilipomtembelea ofisini kwake.Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Dk. Salim Ahmed Salim akizungumza na Kamati ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za Wapalestina katika mgogoro wao na taifa la Israel ilipomtembelea ofisini kwake. Wengine ni wajumbe wa kamati hiyo.

Wajumbe wa Kamati maalum ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za Wapalestina wakiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Dk. Salim Ahmed Salim.Sehemu ya wajumbe wa Kamati maalum ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za Wapalestina wakiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Dk. Salim Ahmed Salim.Wajumbe wa Kamati maalum ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za Wapalestina wakimkabidhi Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Dk. Salim Ahmed Salim (wa pili kulia) kitabu cha picha za historia ya Waparestina na mgogoro huo.Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Dk. Salim Ahmed Salim (wa pili kushoto) katika picha ya kumbukumbu na Wajumbe wa Kamati maalum ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za Wapalestina mara baada ya mazungumzo.Wajumbe wa Kamati maalum ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za Wapalestina wakimkabidhi Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Dk. Salim Ahmed Salim (wa pili kulia) kitabu cha picha za historia ya Waparestina na mgogoro huo.

   WAZIRI Mkuu mstaafu wa Tanzania, Dk. Salim Ahmed Salim amefanya mazungumzo na Kamati ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za Wapalestina katika mgogoro wao na taifa la Israel. Dk Salim aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), katika mazungumzo yake na wajumbe hao amesisitiza umuhimu wa kufikiwa suluhu kwa mgogoro huo ili watu wa Palestina wapate haki zao za msingi. 


Alisema kuna kila sababu ya pande zote kuheshimu maadhimio ya UN katika kufikia suluhu juu ya mgogoro huo, akizungumzia wazo la Israel kuufanya Jerusalem kuwa mji mkuu wake, alisema hali ni ngumu kwa Waparestina na Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa limepitisha maazimio mengu juu ya mgogoro huo lakini yamekuwa yakipuuzwa na Serikali ya Israel hivyo kuishauri kuyazingatia. 

Aliipongeza Kamati ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za Wapalestina kwa juhudi zake za kutafuta suluhu ya mgogoro huo na kuitaka jamii ya kimataifa kuunga mkono juhudi za kamati hiyo ili ifikie malengo yake.

 Tayari viongozi wa Wapalestina wamelaani hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kuutambua mji wa Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel na kusema hatua hiyo ni kufifisha juhudi za kutafuta amani Mashariki ya Kati. 

Kamati ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za Wapalestina mara baada ya mazungumzo na Dk. Salim Ahmed Salim walimkabidhi kitabu cha picha za historia ya Waparestina na mgogoro huo. Hata hivyo, Kamati ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za Wapalestina inatarajiwa kukutana na kujadiliana juu ya hatua ya Israel kutaka kuutangaza mji wa Jerusalem kuwa mji mkuu wake.


Hivyo makala Dk Salim atoa neno juu ya mgogoro wa Palestina na Israel

yaani makala yote Dk Salim atoa neno juu ya mgogoro wa Palestina na Israel Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Dk Salim atoa neno juu ya mgogoro wa Palestina na Israel mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/dk-salim-atoa-neno-juu-ya-mgogoro-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Dk Salim atoa neno juu ya mgogoro wa Palestina na Israel"

Post a Comment

Loading...