Loading...
title : IGP SIRRO, AZINDUA ZAHANATI NA KUSHIRIKI MAZOEZI YA UTAYARI MKOA WA KATAVI
link : IGP SIRRO, AZINDUA ZAHANATI NA KUSHIRIKI MAZOEZI YA UTAYARI MKOA WA KATAVI
IGP SIRRO, AZINDUA ZAHANATI NA KUSHIRIKI MAZOEZI YA UTAYARI MKOA WA KATAVI
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa pili kulia akiwa na maafisa wa Jeshi la Polisi wakati wa uzinduzi wa Zahanati ya Mkoa wa Katavi leo katika ziara yake ya kikazi ya siku moja mkoani humo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati) kulia kwake ni Meja Jenerali Mstafu Rafael Muhuga, wakiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Katavi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wanne kutoka kulia akiwa katika mazoezi ya utayari na Askari waliokuwa wakifanya maonyesho ya utayari Mkoa wa Katavi wakati wa ziara yake.Picha na Jeshi la Polisi.
Hivyo makala IGP SIRRO, AZINDUA ZAHANATI NA KUSHIRIKI MAZOEZI YA UTAYARI MKOA WA KATAVI
yaani makala yote IGP SIRRO, AZINDUA ZAHANATI NA KUSHIRIKI MAZOEZI YA UTAYARI MKOA WA KATAVI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO, AZINDUA ZAHANATI NA KUSHIRIKI MAZOEZI YA UTAYARI MKOA WA KATAVI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/igp-sirro-azindua-zahanati-na-kushiriki.html
0 Response to "IGP SIRRO, AZINDUA ZAHANATI NA KUSHIRIKI MAZOEZI YA UTAYARI MKOA WA KATAVI"
Post a Comment