DK SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA KUHUDHURIA SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA BARA KESHO. - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA KUHUDHURIA SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA BARA KESHO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
DK SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA KUHUDHURIA SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA BARA KESHO.link :
DK SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA KUHUDHURIA SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA BARA KESHO.
DK SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA KUHUDHURIA SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA BARA KESHO.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma na kusalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kondoa, Sezaria Makota kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara zitakazofanyika katika uwanja wa Jamuhuri leo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa UVCCM, Shaka Hamdu Shaka alipowasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma kuhudhuria sherehe za Uhuru wa Tanzania Bara zinazofanyika katika Uwanja wa Jamuhuri.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Mkoani Dodoma alipowasili katika uwanja wa ndege kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za Uhuru wa Tanzania Bara kesho katika viwanja vya Jamuhuri Dodoma.(Picha na Othman Maulid)
Hivyo makala DK SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA KUHUDHURIA SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA BARA KESHO.
yaani makala yote DK SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA KUHUDHURIA SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA BARA KESHO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DK SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA KUHUDHURIA SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA BARA KESHO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/dk-shein-awasili-mkoani-dodoma.html
Related Posts :
SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZAIDI YA 6, 000 KATIKA SEKTA YA AFYANa Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
SERIKALI imetangaza nafasi za ajira katika sekta ya afya 6,180 katika kuhakikisha kuwa upungufu wa w… Read More...
BARAZA LA WAFANYAKAZI TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZMA LAKUTANA, MWENYEKITI WAO DK. NIHUKA AZUNGUMZIA MAFANIKIO NA CHANGAMOTONa Said Mwishehe, Globu ya jamii
MWENYEKITI wa Baraza la Wafanyakazi wa Tasisi ya Elimu ya Watu Wazima Dk.Kassim Nihuka amesema pamoja na ma… Read More...
NAIBU WAZIRI JULIANA SHONZA MGENI RASMI FAINALI YA KUSAKA VIPAJI VYA WATANGAZAJI
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika … Read More...
Mkutano wa Kumi wa Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar.Kuaza kwa Hutuba ya Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Kuwasilisha.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid akiongoza Mkutano wa Kumi wa Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar lililoaz… Read More...
AZAM WAKATA TAMAA KUTWAA UBINGWA MSIMU HUU, WAAHIDI KULINDA HESHIMA
Na Agness Francis, Blogu ya Jamii
KLABU Bingwa Afrika Mashariki na Kati Azam FC imepoteza matumaini yake ya kunyakuwa kombe la Ligi Kuu vo… Read More...
0 Response to "DK SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA KUHUDHURIA SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA BARA KESHO."
Post a Comment