Loading...

SALAMU ZA MIAKA 56 YA UHURU KUTOKA KWA KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI

Loading...
SALAMU ZA MIAKA 56 YA UHURU KUTOKA KWA KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SALAMU ZA MIAKA 56 YA UHURU KUTOKA KWA KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SALAMU ZA MIAKA 56 YA UHURU KUTOKA KWA KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI
link : SALAMU ZA MIAKA 56 YA UHURU KUTOKA KWA KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI

soma pia


SALAMU ZA MIAKA 56 YA UHURU KUTOKA KWA KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. A. P. Makakala ametoa salaam za Heri ya Sikukuu ya Uhuru wa Tanzania bara kwa Watanzania alipokuwa akiwaaga watumishi wa Idara ya Uhamiaji Makao Makuu akielekea Mkoani Dodoma kuhudhuria maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania bara.

Akizungumza Ofisini kwake Kamishna huyo amewataka Watanzania kudumisha uzalendo kwa kulinda Rasilimali, Ulinzi na Usalama wa nchi kwa faida ya kizazi kilichopo na kijacho. Hii ikiwa ndio njia pekee ya kuwaenzi waasisi wa Taifa letu.

“Uraia wetu una umuhimu wa kipekee kwani umebaki kuwa ndio msingi na utambulisho wetu unaotaunganisha wananchi wote bila ya ubaguzi ukilinganisha na utambulisho mwingine kama ukabila au dini na ndio utambulisho wetu kimataifa.Taifa lolote huru liwe kubwa au dogo haliwezi kukamilika bila ya kuwa na raia wake, ndiyo maana miaka 56 ya Uhuru wetu tunajitambua na kujivunia kuwa Watanzania” Alisema Kamishna Jenerali wa Uhamiaji.


Kwa msingi huo suala la kutambua nani ni raia na nani ni mgeni litabakia kuwa lengo kuu la Idara, kwakuwa raia ndiyo wanaotakiwa kunufaika na Rasilimali za nchi na Haki zinazotolewa na nchi kwa raia wake.

Pamoja na haki hizo za Kikatiba na za asili, lakini pia ni raia hao wenye wajibu wa kulinda Taifa lao dhidi ya uvamizi wowote na rasilimali za  Taifa kama zilivyopiganiwa na Mwasisi na Baba wa Taifa letu Hayati Mwl Julius K. Nyerere na kuongeza kuwa jukumu la ulinzi na usalama wa nchi ni la wananchi wote na hasa wazalendo.

Ni vyema kufahamu kuwa Uraia wetu ndio Utanzania wetu hivyo basi hatuna budi kuadhimisha siku hii adhimu tukiwa na ndoto na matarajio ya kuijenga Tanzania mpya ya Viwanda.


Hivyo makala SALAMU ZA MIAKA 56 YA UHURU KUTOKA KWA KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI

yaani makala yote SALAMU ZA MIAKA 56 YA UHURU KUTOKA KWA KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SALAMU ZA MIAKA 56 YA UHURU KUTOKA KWA KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/salamu-za-miaka-56-ya-uhuru-kutoka-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SALAMU ZA MIAKA 56 YA UHURU KUTOKA KWA KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI"

Post a Comment

Loading...