Loading...
title : DODOMA SEKONDARI MABINGWA WAPYA WA MASHINDANO YA MCHEZO WA BASEBALL NCHINI TANZANIA
link : DODOMA SEKONDARI MABINGWA WAPYA WA MASHINDANO YA MCHEZO WA BASEBALL NCHINI TANZANIA
DODOMA SEKONDARI MABINGWA WAPYA WA MASHINDANO YA MCHEZO WA BASEBALL NCHINI TANZANIA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dr. Harrison Mwakyembe (Mb) Katikati aliyeshika gongo la Mchezo wa "Baseball" akiwa katika picha ya Pamoja na Viongozi wa Chama cha mchezo wa Baseball na Softball Tanzania na wafadhili wa Chama hicho kutoka klabu ya Rotary ya Osaka Kaskazini nchini Japan. Siku ya tarehe 1Disemba, 2017 mashindano ya mwaka huu yalipo funguliwa rasmi. Timu ya Dodoma Secondari ndiyo mabingwa wapya nchini Tanzania.
Hivyo makala DODOMA SEKONDARI MABINGWA WAPYA WA MASHINDANO YA MCHEZO WA BASEBALL NCHINI TANZANIA
yaani makala yote DODOMA SEKONDARI MABINGWA WAPYA WA MASHINDANO YA MCHEZO WA BASEBALL NCHINI TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DODOMA SEKONDARI MABINGWA WAPYA WA MASHINDANO YA MCHEZO WA BASEBALL NCHINI TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/dodoma-sekondari-mabingwa-wapya-wa.html
0 Response to "DODOMA SEKONDARI MABINGWA WAPYA WA MASHINDANO YA MCHEZO WA BASEBALL NCHINI TANZANIA"
Post a Comment