Loading...

INASIKITISHA! MAKOSA YA UBAKAJI, KUNAJISI YASHIKA KASI MWAKA 2017,

Loading...
INASIKITISHA! MAKOSA YA UBAKAJI, KUNAJISI YASHIKA KASI MWAKA 2017, - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa INASIKITISHA! MAKOSA YA UBAKAJI, KUNAJISI YASHIKA KASI MWAKA 2017,, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : INASIKITISHA! MAKOSA YA UBAKAJI, KUNAJISI YASHIKA KASI MWAKA 2017,
link : INASIKITISHA! MAKOSA YA UBAKAJI, KUNAJISI YASHIKA KASI MWAKA 2017,

soma pia


INASIKITISHA! MAKOSA YA UBAKAJI, KUNAJISI YASHIKA KASI MWAKA 2017,

Said Mwishehe,Blogu ya jamii

INASIKITISHA!Ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya Jeshi la Polisi nchini kusema kuwa mwaka huu wa 2017 matukio ya ubakaji na kunajisi watoto yameongezeka na kushika kasi ikilinganishwa na mwaka 2016

Imefahamika sababu ya kuongezeka kwa matukio hayo ni ushirikina, tamaa ya mwili na mmomonyoko wa maadili kwenye jamii ya Watanzania

Akizungumza Dar es Salaam leo, kwenye Makao Makuu ya Jeshi la Polisi nchini, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai(DCI) Robert Boaz amefafanua makossa dhidi ya binadamu yanayojumuisha mauaji, kubaka,kulawiti , wizi wa watoto, kutupa watoto, kunajisi na kusafirisha binadamu yameripotiwa

“Katika kundi hili makosa ambayo yameonekana kuongezeka ni makosa ya kubaka na kunajisi.Zipo sababu nyingi lakini kubwa ni ushirikina, kukosekana kwa maadili na tamaa ya mwili.

“Jeshi la Polisi tutaendelea kufuatilia wanaojihusisha na matukio hayo na kisha sharia ichukue mkondo wake.Tunaomba jamii nayo ishirikiane na jeshi lao kutoa taarifa dhidi ya wanaojihusisha na matukio ya aina hiyo,”amesema.

Ameongeza takwimu zinaonesha makosa ya kubaka na kunajisi yameongezeka. Novema mwaka 2016 makosa ya kubaka yaliyoripotiwa yalikuwa 6,985 ikilinganishwa na makosa 7,460 ambayo yameripotiwa mwaka huu.



Hivyo makala INASIKITISHA! MAKOSA YA UBAKAJI, KUNAJISI YASHIKA KASI MWAKA 2017,

yaani makala yote INASIKITISHA! MAKOSA YA UBAKAJI, KUNAJISI YASHIKA KASI MWAKA 2017, Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala INASIKITISHA! MAKOSA YA UBAKAJI, KUNAJISI YASHIKA KASI MWAKA 2017, mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/inasikitisha-makosa-ya-ubakaji-kunajisi_20.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "INASIKITISHA! MAKOSA YA UBAKAJI, KUNAJISI YASHIKA KASI MWAKA 2017,"

Post a Comment

Loading...