Loading...

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, DKT. JUMA MALEWA ATETA NA VIONGOZI WA KIMILA JIJINI MBEYA

Loading...
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, DKT. JUMA MALEWA ATETA NA VIONGOZI WA KIMILA JIJINI MBEYA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, DKT. JUMA MALEWA ATETA NA VIONGOZI WA KIMILA JIJINI MBEYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, DKT. JUMA MALEWA ATETA NA VIONGOZI WA KIMILA JIJINI MBEYA
link : KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, DKT. JUMA MALEWA ATETA NA VIONGOZI WA KIMILA JIJINI MBEYA

soma pia


KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, DKT. JUMA MALEWA ATETA NA VIONGOZI WA KIMILA JIJINI MBEYA

Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Kimila Mkoani Mbeya(kushoto) ni Kiongozi Mkuu wa kimila kabila la Wasafa lililopo Mkoani Mbeya, Rocket Mwashinga(kulia) ni Kiongozi wa Pili wa Wasafa Mkoani Mbeya, George Joto mara baada ya mazungumzo mafupi na Kamishna Jenerali wa Magereza walipokutana katika viwanja vya Magereza Mkoani Mbeya, leo Desemba 31, 2017(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akiagana na Kiongozi Mkuu wa kimila kabila la Wasafa lililopo Mkoani Mbeya, Rocket Mwashinga mara baada ya mazungumzo mafupi walipokutana katika viwanja vya Magereza Mkoani Mbeya, leo Desemba 31, 2017. Kamishna Jenerali wa Magereza nchini yupo Jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi ya siku nne ambapo hadi jana amefanya ukaguzi katika Magereza ya Ruanda, Kyela, Tukuyu pamoja na Chuo cha Mafunzo ya Magereza, Kiwira kilichopo Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya.


Hivyo makala KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, DKT. JUMA MALEWA ATETA NA VIONGOZI WA KIMILA JIJINI MBEYA

yaani makala yote KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, DKT. JUMA MALEWA ATETA NA VIONGOZI WA KIMILA JIJINI MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, DKT. JUMA MALEWA ATETA NA VIONGOZI WA KIMILA JIJINI MBEYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/kamishna-jenerali-wa-magereza-dkt-juma_31.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, DKT. JUMA MALEWA ATETA NA VIONGOZI WA KIMILA JIJINI MBEYA"

Post a Comment

Loading...