Loading...

kampeni ya upigaji chapa mifugo yazinduliwa wilayani Ngorongoro

Loading...
kampeni ya upigaji chapa mifugo yazinduliwa wilayani Ngorongoro - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa kampeni ya upigaji chapa mifugo yazinduliwa wilayani Ngorongoro, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : kampeni ya upigaji chapa mifugo yazinduliwa wilayani Ngorongoro
link : kampeni ya upigaji chapa mifugo yazinduliwa wilayani Ngorongoro

soma pia


kampeni ya upigaji chapa mifugo yazinduliwa wilayani Ngorongoro

 Mkuu wa Mkoa wa Arusha ,Mh Mrisho Gambo kwa Ushirikiano na Naibu Waziri wa Mifugo (Mhe Ulega) pamoja na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro,mapema leowa wamezindua zoezi la Upigaji Chapa Mifugo Kata ya Nainokanoka Wilayani Ngorongoro. 
 
Mh Mrisho Gambo aliesma kuwa kampeni hiyo itasaidia Ku-Control movement ya mifugo kutoka ndani na nje ya nchi, kuipa serikali uwezo wa kuwatambua na kuwahudumia wafugaji wetu. Mtu yoyote atakaye hujumu zoezi hili hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake! Deadline ya kuhitimisha zoezi hili ni tarehe 30 Januari 2018 kwa mkoa wa Arusha!

Uongozi unao acha alama!

 
  Mkuu wa Mkoa wa Arusha ,Mh Mrisho Gambo kwa Ushirikiano na Naibu Waziri wa Mifugo (Mhe Ulega) pamoja na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro,mapema leo akishiriki kuzindua kampeni ya Upigaji Chapa Mifugo Kata ya Nainokanoka Wilayani Ngorongoro.



Hivyo makala kampeni ya upigaji chapa mifugo yazinduliwa wilayani Ngorongoro

yaani makala yote kampeni ya upigaji chapa mifugo yazinduliwa wilayani Ngorongoro Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala kampeni ya upigaji chapa mifugo yazinduliwa wilayani Ngorongoro mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/kampeni-ya-upigaji-chapa-mifugo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "kampeni ya upigaji chapa mifugo yazinduliwa wilayani Ngorongoro"

Post a Comment

Loading...