Loading...

Dk. Salim Ahmed Salim aaga Kamati Kuu ya CCM.

Loading...
Dk. Salim Ahmed Salim aaga Kamati Kuu ya CCM. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Dk. Salim Ahmed Salim aaga Kamati Kuu ya CCM., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Dk. Salim Ahmed Salim aaga Kamati Kuu ya CCM.
link : Dk. Salim Ahmed Salim aaga Kamati Kuu ya CCM.

soma pia


Dk. Salim Ahmed Salim aaga Kamati Kuu ya CCM.

Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Salim Ahmed Salim leo amewaaga wajumbe Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kumaliza muda wake wa miaka mitano.

Katika salamu zake mwishoni mwa kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika katika ukumbi wa Makao Makuu ya CCM Mjini Dodoma Mhe. Dk. Salim amewashukuru Wajumbe wa Kamati Kuu na Viongozi wakuu wa chama kwa kushirikiana nao katika kipindi chote cha ujumbe wake na pia amempongeza Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. John Pombe Magufuli kwa uongozi uliokiwezesha chama kuimarika.

Mhe. Dk. Salim amesema kazi nzuri inayofanywa na Mhe. Dk. Magufuli imeonesha dhahiri kuyaenzi mambo muhimu aliyoyasimamia Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere.

Mhe. Dk. Salim ameahidi kuendelea kutoa ushirikiano na kuwa mtiifu kwa Chama na Serikali.


Hivyo makala Dk. Salim Ahmed Salim aaga Kamati Kuu ya CCM.

yaani makala yote Dk. Salim Ahmed Salim aaga Kamati Kuu ya CCM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Dk. Salim Ahmed Salim aaga Kamati Kuu ya CCM. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/dk-salim-ahmed-salim-aaga-kamati-kuu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Dk. Salim Ahmed Salim aaga Kamati Kuu ya CCM."

Post a Comment

Loading...