Loading...

KATIBU TAWALA WILAYA YA CHEMBA NYAKIA ALLY AHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UPANDAJI MITI NA UCHANGIAJI DAMU

Loading...
KATIBU TAWALA WILAYA YA CHEMBA NYAKIA ALLY AHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UPANDAJI MITI NA UCHANGIAJI DAMU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KATIBU TAWALA WILAYA YA CHEMBA NYAKIA ALLY AHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UPANDAJI MITI NA UCHANGIAJI DAMU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KATIBU TAWALA WILAYA YA CHEMBA NYAKIA ALLY AHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UPANDAJI MITI NA UCHANGIAJI DAMU
link : KATIBU TAWALA WILAYA YA CHEMBA NYAKIA ALLY AHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UPANDAJI MITI NA UCHANGIAJI DAMU

soma pia


KATIBU TAWALA WILAYA YA CHEMBA NYAKIA ALLY AHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UPANDAJI MITI NA UCHANGIAJI DAMU

 Katibu Tawala wa Wilaya ya Chemba Ndugu Nyakia Ally Chirukile akichangia damu baada ya kushiriki zoezi la Usafi wa kila jumamosi ya mwisho wa Mwezi,zoezi ambalo lilikwenda sambamba na upandaji wa miti zaidi ya 2000 pembezoni mwa barabara ya Dodoma -Babati kuanzia Kidoka mpaka  Kilema.

Akizungumza baada ya shughuli nzima,Ndugu Nyakia aliwaomba wananchi wa wilaya ya Chemba na mkoa wa Dodoma kwa ujumla,kuunga mkono juhudi za Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mama Samia Suluhu Hassani katika suala zima la uhamasishaji wa kupanda miti na kuhakikisha mkoa huo unakuwa wa kijani .
Baada ya kufanyika shughuli ya uchangiaji Damu,pia kulifanyika tukio la usafi na upandaji wa miti zaidi ya 2000 pembezoni mwa barabara ya Dodoma -Babati kuanzia Kidoka mpaka  Kilema,kuhakikisha mkoa wa Dodoma unakuwa wa kijani,kufuatia kampeni maalum ya upandaji miti iliozinduliwa hivi karibuni na Makamu wa Rais,Mama Samia Suluhu Hassan mkoani humo na kushirikisha viongozi mbalimbali wa Kitaifa na Wadau wengine wa Mazingira.


  Katibu Tawala wa Wilaya ya Chemba Ndugu Nyakia Ally Chirukile akishiriki shughuli ya  upandaji wa miti zaidi ya 2000 pembezoni mwa barabara ya Dodoma -Babati kuanzia Kidoka mpaka  Kilema,baada ya zoezi hio Ndugu Nyakia pia alishiriki tukio la Usafi na uchangiaji wa Damu.


Hivyo makala KATIBU TAWALA WILAYA YA CHEMBA NYAKIA ALLY AHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UPANDAJI MITI NA UCHANGIAJI DAMU

yaani makala yote KATIBU TAWALA WILAYA YA CHEMBA NYAKIA ALLY AHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UPANDAJI MITI NA UCHANGIAJI DAMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU TAWALA WILAYA YA CHEMBA NYAKIA ALLY AHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UPANDAJI MITI NA UCHANGIAJI DAMU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/katibu-tawala-wilaya-ya-chemba-nyakia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KATIBU TAWALA WILAYA YA CHEMBA NYAKIA ALLY AHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UPANDAJI MITI NA UCHANGIAJI DAMU"

Post a Comment

Loading...