Loading...

Ofisi ya Makamu wa Rais Yakanusha Tangazo Linalotangaza Ushiriki wa Makamu wa Rais Kupanda Miti Tarehe 1, January 2018.

Loading...
Ofisi ya Makamu wa Rais Yakanusha Tangazo Linalotangaza Ushiriki wa Makamu wa Rais Kupanda Miti Tarehe 1, January 2018. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ofisi ya Makamu wa Rais Yakanusha Tangazo Linalotangaza Ushiriki wa Makamu wa Rais Kupanda Miti Tarehe 1, January 2018., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ofisi ya Makamu wa Rais Yakanusha Tangazo Linalotangaza Ushiriki wa Makamu wa Rais Kupanda Miti Tarehe 1, January 2018.
link : Ofisi ya Makamu wa Rais Yakanusha Tangazo Linalotangaza Ushiriki wa Makamu wa Rais Kupanda Miti Tarehe 1, January 2018.

soma pia


Ofisi ya Makamu wa Rais Yakanusha Tangazo Linalotangaza Ushiriki wa Makamu wa Rais Kupanda Miti Tarehe 1, January 2018.

TAARIFA KWA UMMA
Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakanusha tangazo linalosambaa katika Mitandao ya Kijamii linalomhusisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  kuwa atashiriki zoezi la kupanda miti kwenye Chuo Kikuu Cha Dodoma siku ya tarehe 1-1-2018. Ofisi ya Makamu wa Rais inapenda kuujulisha umma kuwa tangazo hilo si la kweli na Makamu wa Rais hana ratiba ya kupanda miti kwenye chuo hicho kwa tarehe iliyotajwa.

Ikumbukwe kuwa siku ya tarehe 15-12-2017 wakati wa hafla ya kuhamia Makao Makuu ya Nchi, Makamu wa Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alitangaza kampeni ya kupanda miti Dodoma ambayo itaratibiwa na Ofisi yake .

Ofisi ya Makamu wa Rais inawataka Wananchi kuzingatia matangazo, taarifa na ratiba zitakazotolewa na Ofisi yake kuhusu programu ya upandaji miti Dodoma.

Imetolewa na:
Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dodoma


Hivyo makala Ofisi ya Makamu wa Rais Yakanusha Tangazo Linalotangaza Ushiriki wa Makamu wa Rais Kupanda Miti Tarehe 1, January 2018.

yaani makala yote Ofisi ya Makamu wa Rais Yakanusha Tangazo Linalotangaza Ushiriki wa Makamu wa Rais Kupanda Miti Tarehe 1, January 2018. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ofisi ya Makamu wa Rais Yakanusha Tangazo Linalotangaza Ushiriki wa Makamu wa Rais Kupanda Miti Tarehe 1, January 2018. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/ofisi-ya-makamu-wa-rais-yakanusha_31.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ofisi ya Makamu wa Rais Yakanusha Tangazo Linalotangaza Ushiriki wa Makamu wa Rais Kupanda Miti Tarehe 1, January 2018."

Post a Comment

Loading...