Loading...
title : Kikosi cha Zanzibar Heroes kilichoanza leo dhidi ya Rwanda
link : Kikosi cha Zanzibar Heroes kilichoanza leo dhidi ya Rwanda
Kikosi cha Zanzibar Heroes kilichoanza leo dhidi ya Rwanda
Na Abubakar Khatib Kisandu, Machakos Kenya.
Kocha wa Mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) Hemed Suleiman “Morocco” ametangaza kikosi chake kitakachocheza leo kwenye Mashindano ya CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP dhidi ya Rwanda katika uwanja wa Kenyatta uliopo Machakos nchini Kenya, pambano litakalopigwa majira ya saa 8:00 za mchana.
1. Mohd Abrahman (Wawesha)
2. Ibrahim Mohd (Sangula)
3. Haji Mwinyi Ngwali
4. Abdulla Kheri (Sebo)
5. Issa Haidar Dau (Mwalala)
6. Abdul azizi Makame (Abui)
7. Mohd Issa (Banka)
8. Mudathir Yahya
9. Ibrahim Hamad Hilika
10. Feisal Salum (Fei Toto)
11. Suleiman Kassim “Seleembe” (Captain)
SUB
1. Ahmed Ali (Salula)
2. Ibrahim Abdallah
3. Adeyum Saleh
4. Abdullah Haji (Ninja)
5. Seif Rashid (Karihe)
6. Kassim Suleiman
7. Hamad Mshamata
8. Khamis Mussa (Rais)
9. Amour Suleiman (Pwina)
10. Abdul swamad Kassim (Hasgut)
Mlinzi Mohd Othman Mmanga amepata jeraha baada ya jana usiku kujikwaa chooni na kuumia mguu na kulazimika kushonwa, nafasi yake ikalazimika kuchukuliwa na Ibrahim Mohd (Sangula).
Hivyo makala Kikosi cha Zanzibar Heroes kilichoanza leo dhidi ya Rwanda
yaani makala yote Kikosi cha Zanzibar Heroes kilichoanza leo dhidi ya Rwanda Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kikosi cha Zanzibar Heroes kilichoanza leo dhidi ya Rwanda mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/kikosi-cha-zanzibar-heroes-kilichoanza.html
0 Response to "Kikosi cha Zanzibar Heroes kilichoanza leo dhidi ya Rwanda"
Post a Comment