Loading...
title : Kocha Mohammed King afiwa na baba yake mzazi
link : Kocha Mohammed King afiwa na baba yake mzazi
Kocha Mohammed King afiwa na baba yake mzazi
Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Kocha wa zamani wa Baghdad, Azam FC, Jang'ombe Boys, JKU na Miembeni City Mohammed Seif Mzee (King) amefiwa na baba yake mzazi, Seif Mzee aliyefariki jan.
Marehemu Mzee Seif aliwahi kuwa Daktari katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja pia aliwahi kufanya kazi katika Meli ya Mv Mapinduzi.
Marehemu Seif atazikwa leo Jumanne saa 4:00 za asubuhi nyumbani kwao Chaani Kichungwani.
Hivyo makala Kocha Mohammed King afiwa na baba yake mzazi
yaani makala yote Kocha Mohammed King afiwa na baba yake mzazi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kocha Mohammed King afiwa na baba yake mzazi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/kocha-mohammed-king-afiwa-na-baba-yake.html
0 Response to "Kocha Mohammed King afiwa na baba yake mzazi"
Post a Comment