Loading...

Maelezo ya awali (PH) katika kesi inayomkabili Afisa Msaidizi wa Forodha wa TRA kusomwa Januari 11, 2018

Loading...
Maelezo ya awali (PH) katika kesi inayomkabili Afisa Msaidizi wa Forodha wa TRA kusomwa Januari 11, 2018 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Maelezo ya awali (PH) katika kesi inayomkabili Afisa Msaidizi wa Forodha wa TRA kusomwa Januari 11, 2018, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Maelezo ya awali (PH) katika kesi inayomkabili Afisa Msaidizi wa Forodha wa TRA kusomwa Januari 11, 2018
link : Maelezo ya awali (PH) katika kesi inayomkabili Afisa Msaidizi wa Forodha wa TRA kusomwa Januari 11, 2018

soma pia


Maelezo ya awali (PH) katika kesi inayomkabili Afisa Msaidizi wa Forodha wa TRA kusomwa Januari 11, 2018

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema Maelezo ya awali (PH) dhidi ya Afisa Msaidizi wa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Jennifer Mushi anayekabiliwa na mashtaka mawili ikiwamo la kukutwa akimiliki magari 19,  mali isiyolingana na kipato chake yatasomwa Januari 11, 2018.

Jenipher alipaswa kusomewa maelezo hayo ya awali leo lakini Wakili wa Serikali Mkuu, Vitalis Peter alieleza mahakama ni hapo kuwa bado hawajamaliza kuiandaa. Na kuomba ipangwe tarehe nyingine

Hakimu Huruma Shaidi anayesikiliza kesi hiyo ameahirisha hadi Januari 11, mwakani  itaanza kusikilizwa kwa ushahidi wa mashahidi wa upande wa mashtaka

Mshtakiwa huyo anadaiwa kuwa  kati ya Machi 21,2016 na Juni 30,2016  jijini Dar es Salaam  akiwa  mwajiriwa wa TRA kama Afisa Forodha Msaidizi alikutwa akimili magari 19.

Nagari hayo ni   Toyota RAV4, Toyota RAV4, Toyota Dyna Truck, Toyota Viz, Suzuki Carry, Toyota Ipsum, Toyota Wish, Toyota Mark II, Toyota Wish na  Toyota Mark X.

Mengine ni Toyota Regiusage, Toyota Estimated, Toyota Alex, Toyota Noah, Toyota Crown,  Toyota Hiace, Toyota Estima, Toyota Passo na Suzuki Carry yote yakiwa na thamani ya Sh 197,601,207 Mali ambayo hailingani na kipato chake halali.

Pia anadaiwa kikutwa akiishi maisha ya kifahari  yenye thamani ya Sh 333,255,556.24 fedha ambayo hailingani na Kipato chake halali.


Hivyo makala Maelezo ya awali (PH) katika kesi inayomkabili Afisa Msaidizi wa Forodha wa TRA kusomwa Januari 11, 2018

yaani makala yote Maelezo ya awali (PH) katika kesi inayomkabili Afisa Msaidizi wa Forodha wa TRA kusomwa Januari 11, 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Maelezo ya awali (PH) katika kesi inayomkabili Afisa Msaidizi wa Forodha wa TRA kusomwa Januari 11, 2018 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/maelezo-ya-awali-ph-katika-kesi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Maelezo ya awali (PH) katika kesi inayomkabili Afisa Msaidizi wa Forodha wa TRA kusomwa Januari 11, 2018"

Post a Comment

Loading...