Loading...
title : WATAALAM SEKTA YA MADINI WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO GGM
link : WATAALAM SEKTA YA MADINI WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO GGM
WATAALAM SEKTA YA MADINI WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO GGM
Wataalam kutoka Taasisi za Serikali zinazohusika na Sekta ya Madini ndani na nje ya nchi pamoja na Wakufunzi kutoka Taasisi ya Kimataifa ya nchini Canada (CIRDI) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufanya ziara ya mafunzo katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM).
Mkufunzi kutoka Taasisi ya Kimataifa ya nchini Canada (CIRDI), Colleen Crystal (kulia) akizungumza na wataalam wa Madini wa Tanzania na nje ya Tanzania wakati walipofanya ziara ya mafunzo katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) .
Wataalam wa Madini wa Tanzania na nje ya nchi wakiangalia eneo ambalo uoteshaji wa miti umefanyika baada ya uchimbaji madini kukamilika lengo likiwa ni kuhifadhi mazingira mara baada ya shughuli za uchimbaji madini kukamilika katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) .
Mkufunzi kutoka Taasisi ya Kimataifa ya nchini Canada (CIRDI), Colleen Crystal (kushoto) akizungumza na Wataalam wa Madini wa Tanzania na nje ya Tanzania wakati walipofanya ziara ya mafunzo katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) .
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Hivyo makala WATAALAM SEKTA YA MADINI WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO GGM
yaani makala yote WATAALAM SEKTA YA MADINI WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO GGM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WATAALAM SEKTA YA MADINI WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO GGM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/wataalam-sekta-ya-madini-wafanya-ziara.html
0 Response to "WATAALAM SEKTA YA MADINI WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO GGM"
Post a Comment