Loading...
title : MAMA SALMA KIKWETE ATAKA MASHINDANO YA MABUNGE EAC KUDUMISHA UDUGU NA USHIRIKIANO
link : MAMA SALMA KIKWETE ATAKA MASHINDANO YA MABUNGE EAC KUDUMISHA UDUGU NA USHIRIKIANO
MAMA SALMA KIKWETE ATAKA MASHINDANO YA MABUNGE EAC KUDUMISHA UDUGU NA USHIRIKIANO
Mbunge wa Bunge la Tanzania ambaye ni Mke wa Rais mstaafu, Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikikwete akikagua timu ya Bunge la Tanzania iliyocheza na timu ya Bunge la Afrika Mashariki katika mashindano ya mabunge ya nchi za Afrika Mashariki kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Mama Salma alihimiza mashindano hayo kuwa kielelezo cha kudumisha udugu na ushirikiano wa nchi za jumuiya hiyo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mama Salma akikagua kikosi cha Bunge la Afrika Mashariki
Kikosi cha timu ya Bunge la Tanzania
Kikosi cha timu ya Bunge la Afrika Mashariki
Hivyo makala MAMA SALMA KIKWETE ATAKA MASHINDANO YA MABUNGE EAC KUDUMISHA UDUGU NA USHIRIKIANO
yaani makala yote MAMA SALMA KIKWETE ATAKA MASHINDANO YA MABUNGE EAC KUDUMISHA UDUGU NA USHIRIKIANO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAMA SALMA KIKWETE ATAKA MASHINDANO YA MABUNGE EAC KUDUMISHA UDUGU NA USHIRIKIANO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/mama-salma-kikwete-ataka-mashindano-ya.html
0 Response to "MAMA SALMA KIKWETE ATAKA MASHINDANO YA MABUNGE EAC KUDUMISHA UDUGU NA USHIRIKIANO"
Post a Comment