Loading...

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS LEO MJINI DODOMA.

Loading...
WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS LEO MJINI DODOMA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS LEO MJINI DODOMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS LEO MJINI DODOMA.
link : WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS LEO MJINI DODOMA.

soma pia


WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS LEO MJINI DODOMA.


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua matengenezo ya makazi ya muda yanayotarajiwa kutumiwa Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan pindi atakapohamia Dodoma.

Waziri Mkuu amefanya ukaguzi huo leo mchana (Jumatano, Desemba 6, 2017) katika eneo la Kilimani, mjini Dodoma ambako yalikuwa makazi ya Mkuu wa Mkoa huo.

Akitoa taarifa ya ujenzi huo, Waziri wa Nchi (OWM) anayeshughulikia Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Wenye Ulemavu na Vijana, Bibi Jenista Mhagama alisema Kikosi kazi cha kuratibu zoezi la Serikali kuhamia Dodoma kilibaini kuwa mahali alipokuwa akiishi awali siyo sahihi kwa ajili ya makazi ya kudumu ya Mhe. Makamu wa Rais.

“Pale palikuwa panafaa kwa ajili ya ziara za kikazi alipokuwa akija Dodoma, kwa hiyo tumeamua tufanye ukarabati hapa, ili aweze kuishi kwa viwango vinavyostahili.”

Alisema kazi ya matengenezo kwenye makazi yake itagharimu sh. bilioni 1.5 wakati kazi ya kutenganisha ofisi za watumishi na wasaidizi wa Makamu wa Rais itagharimu sh. milioni 680.

Waziri Mkuu pia alikagua matengenezo ya Ofisi inayotarajiwa kutumiwa na Makamu wa Rais ambayo itakuwa eneo la Ndejengwa.

Wakati huohuo, Kaimu Meneja wa TBA Mkoa wa Dodoma, Bw. Steven Simba ambaye anasimamia ujenzi huo, alimweleza Waziri Mkuu wanataraji kuwa kazi hiyo itakamilika kabla ya Desemba 30, mwaka huu.


IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU, 
S. L. P. 980,
41193 – DODOMA.
JUMATANO, DESEMBA 6, 2017   


Hivyo makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS LEO MJINI DODOMA.

yaani makala yote WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS LEO MJINI DODOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS LEO MJINI DODOMA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/waziri-mkuu-majaliwa-akagua-makazi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS LEO MJINI DODOMA."

Post a Comment

Loading...