Loading...
title : MASHINDANO YA NANE YA MABUNGE WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAENDELEA LEO UWANJA WA NDANI WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM.
link : MASHINDANO YA NANE YA MABUNGE WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAENDELEA LEO UWANJA WA NDANI WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM.
MASHINDANO YA NANE YA MABUNGE WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAENDELEA LEO UWANJA WA NDANI WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM.
Wachezaji wa mpira wa wavu wa Tanzania (jezi ya bluu) na wachezaji wa mpira wa wavu wa Kenya (nyeupe) wakichuana ikiwa ni Muendelezo wa Mashindano ya Nane ya Mabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyoanza jana katika uwanja wa Taifa Mjini Dar es Salaam, Tanzania.
Wachezaji wa mpira wa wavu wa Tanzania (jezi ya bluu) na wachezaji wa Kenya (nyeupe) wakijiandaa kwa ajili ya kuanza mchezo baina yao uliofanyika leo katika uwanja wa ndani wa Taifa, Tanzania ikiwa ni Muendelezo wa Mashindano ya Nane ya Mabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyoanza jana katika uwanja wa Taifa Mjini Dar es Salaam, Tanzania.
Wachezaji wa Timu ya mpira wa wavu wa Tanzania wakijadiliana wakati wa mapumziko wakati wa mchezo baina yao na kenya katika Muendelezo wa Mashindano ya Nane ya Mabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyoanza jana katika uwanja wa Taifa Mjini Dar es Salaam, Tanzania.
Mashabiki wa Timu ya Tanzania wakishangilia wakati timu ya mpira wa wavu ya Tanzania ikicheza na timu ya mpira wa wavu ya Kenya leo katika uwanja wa ndani wa Taifa, Tanzania katika Muendelezo wa Mashindano ya Nane ya Mabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyoanza jana katika uwanja wa Taifa Mjini Dar es Salaam, Tanzania.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala MASHINDANO YA NANE YA MABUNGE WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAENDELEA LEO UWANJA WA NDANI WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM.
yaani makala yote MASHINDANO YA NANE YA MABUNGE WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAENDELEA LEO UWANJA WA NDANI WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MASHINDANO YA NANE YA MABUNGE WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAENDELEA LEO UWANJA WA NDANI WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/mashindano-ya-nane-ya-mabunge-wa.html
0 Response to "MASHINDANO YA NANE YA MABUNGE WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAENDELEA LEO UWANJA WA NDANI WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM."
Post a Comment