Loading...

MAKAMU WA RAIS AZINDUA KONGAMANO LA 8 LA MWAKA LA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI

Loading...
MAKAMU WA RAIS AZINDUA KONGAMANO LA 8 LA MWAKA LA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AZINDUA KONGAMANO LA 8 LA MWAKA LA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AZINDUA KONGAMANO LA 8 LA MWAKA LA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI
link : MAKAMU WA RAIS AZINDUA KONGAMANO LA 8 LA MWAKA LA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI

soma pia


MAKAMU WA RAIS AZINDUA KONGAMANO LA 8 LA MWAKA LA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kongamano la 8 la Mwaka la Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi lililofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha (AICC). (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Sehemu ya Wahudhuriaji wa Kongamano la 8 la Mwaka la Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati wa Ufunguzi wa Kongamano hilo lililofanyika kwenye kituo cha mikutano cha Kimataifa Arusha. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya awali ya Heaven  Moshono Arusha pamoja na walimu wao ambao walikuwa uwanja wa ndege wa Arusha wakati Makamu wa Rais anaondoka Arusha mara baada ya kufungua wa Kongamano la 8 la Mwaka la Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi lililofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha (AICC). (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)



Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AZINDUA KONGAMANO LA 8 LA MWAKA LA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AZINDUA KONGAMANO LA 8 LA MWAKA LA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AZINDUA KONGAMANO LA 8 LA MWAKA LA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/makamu-wa-rais-azindua-kongamano-la-8.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AZINDUA KONGAMANO LA 8 LA MWAKA LA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI"

Post a Comment

Loading...