Loading...

Matukio : Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya wazinduliwa leo mjini Dodoma

Loading...
Matukio : Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya wazinduliwa leo mjini Dodoma - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya wazinduliwa leo mjini Dodoma, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya wazinduliwa leo mjini Dodoma
link : Matukio : Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya wazinduliwa leo mjini Dodoma

soma pia


Matukio : Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya wazinduliwa leo mjini Dodoma



Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Sekta kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Dkt. Andrew Komba ambaye pia ni mgeni rasmi katika uzinduzi wa Jarida lenye Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya,akizungumza mapema leo mjini Dodoma mbele ya Wadau mbalimbali wa mambo ya Afya,ikiwa ni sehemu ya kuelekea kilele cha uzinduzi wa kampeni ya Unawaji Mikono kwa vituo vya Afya itakayojulikana kwa jina la NIPO TAYARI awamu ya pili,Ambapo katika uzinduzi wa kampeni hiyo itakayozinduliwa rasmi Desemba 7,2017 mkoani Dodoma,Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais Mama samia Suluh Hassan

Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Sekta kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Dkt. Andrew Komba ambaye pia ni mgeni rasmi akikata utepe kuzindua Jarida lenye Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya,mapema leo mjini Dodoma,uzinduzi wa jarida hilo ni sehemu ya kuelekea kilele cha uzinduzi wa kampeni ya Unawaji Mikono kwa vituo vya Afya itakayojulikana kwa jina la NIPO TAYARI awamu ya pili,Ambapo katika uzinduzi wa kampeni hiyo itakayozinduliwa rasmi Desemba 7,2017 mkoani Dodoma,Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais Mama samia Suluh Hassan




Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Sekta kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Dkt. Andrew Komba akiwaonesha Wanahabari jarida lenye Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya,mapema leo mjini Dodoma



Mratibu wa Kampeni ya Usafi wa mazingira-wizara ya afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto Dkt Anyitike Mwakitalima akizungumza jambo mbele ya Wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye mkutano huo,mapema leo mjini Dodoma,kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi wakati wa uzinduzi wa jarida lenye Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya

Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Sekta kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Dkt. Andrew Komba akimkabidhi Mganga Mkuu wa Mkoa Njombe,Dkt Buru Mwamasage jarida lenye Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya,mapema leo mjini Dodoma

Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Sekta kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Dkt. Andrew Komba akimkabidhi Afisa Afya mkoa wa Dodoma,Edward Ganja jarida lenye Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya,mapema leo mjini Dodoma

Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Sekta kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Dkt. Andrew Komba akimkabidhi Mkurugenzi wa Mipango kutoka shirika la WaterAid -Tanzania Bwa.Abel Dugange jarida lenye Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya,mapema leo mjini Dodoma

Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Sekta kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Dkt. Andrew Komba akipewa maelezo mafupi kuhusiana na matumizi ya dawa mbalimbali zinazotumika katika usafi wa maeneo mbalimbali ikiwemo ya kunawia mikono na kusafishia vyoo,zilizotengenezwa na wajasiliamali waliokuwepo ukumbini humo wakati wa uzinduzi wa jarida lenye Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya,mapema leo mjini Dodoma

Mratibu wa Kampeni ya Usafi wa mazingira-wizara ya afya maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Dkt Anyitike Mwakitalima akipewa maelezo mafupi kuhusiana na matumizi ya dawa mbalimbali zinazotumika katika usafi wa maeneo mbalimbali ikiwemo ya kunawia mikono na kusafishia vyoo,zilizotengenezwa na wajasiliamali waliokuwepo ukumbini humo wakati wa uzinduzi wa jarida lenye Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya,mapema leo mjini Dodoma.

Wageni waalikwa mbalimbali wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri wakati wa uzinduzi wa jarida lenye Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya,mapema leo mjini Dodoma

Baadhi ya wadau wakiangalia vipeperushi mbalimbali nyenye taarifa za mambo ya Afya na usafi kwa jamii.

Baadhi ya Wawakilishi kutoka shirika la UNICEF wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri kwenye uzinduzi huo ambao pia uliwajumuisha wadau mbalimbali wa mambo ya Afya








Hivyo makala Matukio : Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya wazinduliwa leo mjini Dodoma

yaani makala yote Matukio : Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya wazinduliwa leo mjini Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya wazinduliwa leo mjini Dodoma mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/matukio-mwongozo-wa-taifa-wa-huduma-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya wazinduliwa leo mjini Dodoma"

Post a Comment

Loading...