Loading...

Mke wa Kafulila, ametembelea Lisu, a andika mazito mitandaoni.

Loading...
Mke wa Kafulila, ametembelea Lisu, a andika mazito mitandaoni. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mke wa Kafulila, ametembelea Lisu, a andika mazito mitandaoni., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mke wa Kafulila, ametembelea Lisu, a andika mazito mitandaoni.
link : Mke wa Kafulila, ametembelea Lisu, a andika mazito mitandaoni.

soma pia


Mke wa Kafulila, ametembelea Lisu, a andika mazito mitandaoni.


Leo December 30, 2017 Mke wa aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila ambaye pia ni Mbunge wa viti maalum Singida Jesca Kishoa alikuwa Nairobi Kenya ambapo alienda kumjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu aliyeshambuliwa kwa risasi akiwa nyumbani kwake Dodoma na watu wasiojulikana.

Kupitia account yake ya Instagram aliandika jumble usemao….”Shauku yake ya kulitetea taifa hili imeongezeka mara 100000000000….. Aisee ni kama kuzima moto kwa petrol… Wasiojulikana wamemfanya awe jasiri zaidi.Glory to the Almighty God.Aluta Continua“


Hivyo makala Mke wa Kafulila, ametembelea Lisu, a andika mazito mitandaoni.

yaani makala yote Mke wa Kafulila, ametembelea Lisu, a andika mazito mitandaoni. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mke wa Kafulila, ametembelea Lisu, a andika mazito mitandaoni. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/mke-wa-kafulila-ametembelea-lisu-andika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mke wa Kafulila, ametembelea Lisu, a andika mazito mitandaoni."

Post a Comment

Loading...