Loading...

Mlimani City Mall yatangaza zawadi ya X-Mas na Mwaka Mpya

Loading...
Mlimani City Mall yatangaza zawadi ya X-Mas na Mwaka Mpya - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mlimani City Mall yatangaza zawadi ya X-Mas na Mwaka Mpya, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mlimani City Mall yatangaza zawadi ya X-Mas na Mwaka Mpya
link : Mlimani City Mall yatangaza zawadi ya X-Mas na Mwaka Mpya

soma pia


Mlimani City Mall yatangaza zawadi ya X-Mas na Mwaka Mpya

Katika kusherehekea Sikukuu za X-Mas na Mwaka Mpya, uongozi wa Mlimani City kwa kushirikiana na wafanyabiashara wenye maduka ndani yake umetangaza ofa maalumu kwa wateja  wake watakaofanya manunuzi katika msimu huu wa sikukuu.
Ofa hiyo inatoa fursa ya kujishindia zawadi mbalimbali ambazo zimegawanywa kwa makundi matano ambapo kila wiki washindi 20 watajishindia vocha yenye thamani ya kufanya shoping kwa vitu vya thamani ya Shilingi 100,000 lakini pia watakuwa mwameingia moja kwa moja kwenye droo kubwa ya mwisho ambayo mshindi wa kwanza atajishindia vocha ya manunuzi ya bidhaa za nyumbani yenye thamani ya Shilingi Milioni 10, na mshindi 5 watajinyakulia vocha yenye thamani ya shilingi milioni 1, kila mmoja.  
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Meneja mkuu wa Mlimani City Ndugu Pastory Mrosso alisema kuwa washindi wa kila wiki watafanya manunuzi katika duka lolote ndani ya Mlimani City kwa kutumia vocha zao.
Promosheni hii maalumu imeanza Desemba 15 na inatarajia kufikia mwisho Januari 14, 2018, ambapo droo kubwa ya kupata mshindi wa kwanza wa Vocha yenye thamani ya Shilingi milioni 10.
Meneja huyo aliwaomba watanzania kuendelea kufanya manunuzi yao katika maduka ya Mlimani City, kutokana na kuwajali wateja wake na kutoa huduma zinazokwenda na wakati na hasa katika kipindi hiki cha X-Mas na Mwaka Mpya.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Secta Binafsi nchini Tanzania(TPSF), Godfrey Simbeye akichagua kuponi ya mshindi wa kwanza wa promosheni ya ‘Fanya shoping mlimani City na ushinde zawadi katika kipindi hiki cha siku kuu ya Chrismass na Mwaka Mpya iliyozinduliwa rasmi jana Mlimani City.Kushoto kwake ni Meneja wa Mlimani City, Pastory Mroso na wengine mabalozi wa kampeni hiyo.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Secta Binafsi nchini Tanzania(TPSF), Godfrey Simbeye akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa promosheni ya ‘Fanya shoping mlimani City na ushinde zawadi katika kipindi hiki cha siku kuu ya Chrismass na Mwaka Mpya iliyozinduliwa rasmi jana Mlimani City.Kulia ni Meneja wa Mlimani City, Pastory Mroso.


Hivyo makala Mlimani City Mall yatangaza zawadi ya X-Mas na Mwaka Mpya

yaani makala yote Mlimani City Mall yatangaza zawadi ya X-Mas na Mwaka Mpya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mlimani City Mall yatangaza zawadi ya X-Mas na Mwaka Mpya mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/mlimani-city-mall-yatangaza-zawadi-ya-x.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mlimani City Mall yatangaza zawadi ya X-Mas na Mwaka Mpya"

Post a Comment

Loading...