Loading...
title : NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA NAIBU MKURUGENZI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE YA BUNGE LA CHINA
link : NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA NAIBU MKURUGENZI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE YA BUNGE LA CHINA
NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA NAIBU MKURUGENZI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE YA BUNGE LA CHINA
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba akizungumza na Naibu Mkurugenzi wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la China, Mhe. CAO Weizhou alipofika Wizarani tarehe 06 Desemba, 2017. Katika mazungumzo yao pamoja na mambo mengine walijadili kuhusu kuimarisha ushirikiano wa kindugu uliopo kati ya Tanzania na China. Pia Mhe. Dkt. Kolimba alitumia fursa hiyo kuishukuru Serikali ya China kwa misaada mbalimbali inayotoa kwa Tanzania hususan katika sekta ya ujenzi wa miundombinu.
Sehemu ya ujumbe uliofuatana na Mhe. CAO Weizhou wakifuatilia mazungumzo. Wa pili kutoka kulia ni Balozi wa China nchini, Mhe. Wang Ke.
Sehemu nyingine ya Ujumbe uliofuatana na Mhe. CAO Weizhou.
Sehemu ya ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Kutoka kushoto ni Bi. Justa Nyange, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia, Bw. Charles Faini, Katibu wa Naibu Waziri, na Bw. Halmesh Lunyumbu, Afisa Mambo ya Nje
Mhe. Dkt. Kolimba akiagana na Mhe. CAO mara baada ya kumaliza mazungumzo yao.
Picha ya pamoja
Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA NAIBU MKURUGENZI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE YA BUNGE LA CHINA
yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA NAIBU MKURUGENZI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE YA BUNGE LA CHINA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA NAIBU MKURUGENZI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE YA BUNGE LA CHINA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/naibu-waziri-wa-mambo-ya-nje-akutana.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA NAIBU MKURUGENZI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE YA BUNGE LA CHINA"
Post a Comment