Loading...

WAHAMIAJI HARAMAU 647 MBARONI.

Loading...
WAHAMIAJI HARAMAU 647 MBARONI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAHAMIAJI HARAMAU 647 MBARONI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAHAMIAJI HARAMAU 647 MBARONI.
link : WAHAMIAJI HARAMAU 647 MBARONI.

soma pia


WAHAMIAJI HARAMAU 647 MBARONI.

Wahamiaji haramu 647 wamekamatwa mkoani Pwani kwa kuingia nchini bila ya kibali katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita. Aidha katika kipindi cha wiki mbili zilizopita idara ya uhamiaji mkoani humo imefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 26.
Hayo yamesemwa mjini Kibaha na Ofisa Uhamiaji mkoa wa Pwani, Plasid Mazengo wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Mazengo amesema, wahamiaji hao haramu na wale wanaokiuka taratibu za uhamiaji walikamatwa kipindi cha mwaka 2016 ambapo walikamatwa 362, mwaka 2017 walikamatwa 194 na Januari hadi Juni walikamatwa 91.
Amesema katika kipindi cha mwaka 2016 waliofukuzwa walikuwa 237, mwaka 2017 walifukuzwa 38 na Januari hadi Juni walifukuzwa 30 na kufanya jumla yao 305.
Aidha alisema mwaka 2016 waliofikishwa mahakamani walikuwa 162 mwaka 2017 waliofikishwa mahakamani walikuwa 194 na Januari hadi Juni waliofikishwa mahakamani walikuwa 91.
"Sababu kubwa inayowafanya wahamiaji hao haramu kuingia nchini hasa wale wa nchi jirani ni kutaka kutumia rasilimali za nchi ambazo ziko nyingi," amesema Mazengo.
Amebainisha kuwa, wengi wanavutiwa na rasilimali zilizopo zikiwemo za uvuvi, maliasili na kilimo huku wengine wakiwa njiani kuelekea kusini mwa Afrika kwa ajili ya kutafuta maisha hasa Wasomali na Waethiopia.


Hivyo makala WAHAMIAJI HARAMAU 647 MBARONI.

yaani makala yote WAHAMIAJI HARAMAU 647 MBARONI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAHAMIAJI HARAMAU 647 MBARONI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/wahamiaji-haramau-647-mbaroni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAHAMIAJI HARAMAU 647 MBARONI."

Post a Comment

Loading...