Loading...

NEC YAWAJIBU UKAWA

Loading...
NEC YAWAJIBU UKAWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEC YAWAJIBU UKAWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEC YAWAJIBU UKAWA
link : NEC YAWAJIBU UKAWA

soma pia


NEC YAWAJIBU UKAWA

Tokeo la picha la picha ya Kailima Ramadhani

Na Mwandishi Maalum

MKURUGENZI wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Kailima Ramadhani alisema chama cha siasa kutangaza kugomea kushiriki uchaguzi hakuwezi kuifanya tume ihahirishe uchaguzi kwani tume haiko kumshawishi mtu au chama kushiriki uchaguzi.


Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Ramadhani alisema chama kushiriki uchaguzi ni jambo la hiyari na tume ya uchaguzi iko pale kwa ajili  ya kuweka na kutengeza mazingira yatakayofanya vyama vya siasa kushirki uchaguzi.

Alisema iwapo kuna chama kitaamua kutoshiriki uchaguzi, chama kitakachoshiriki hata kama ni mmoja mgombea wake atapita bila kupingwa.  Alisistiza kuwa hakuna sehemu yoyote ya katiba na sheria ya uchaguzi inayotamka kwamba chama kisiposhiriki uchaguzi basi uchaguzi unaahirishwa. 


“Ila ikitokea vyama vikasusa vyote kushiriki kwenye uchaguzi hapo ndipo unaweza kuahirishwa kwa kuwa hakutakuwa na mgombea,”alifafanua mkurugenzi wakati alipokuwa anazungumza na baadhi ya waandishi wa habari ambao walitaka kupata ufafanuzi wa tume kuhusu tamko lililotolewea na mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe.


Hivyo ameviasa vyama vya siasa vinavyotishia kutoshiriki kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge katika majimbo matatu na kata sita kufuata mifumo ya kisheria ya kushughulikia malalamiko ya uchaguzi.


Aliitaja mifumo hiyo kuwa ni kuwasilisha malalamiko kwenye kamati ya maadili wakati wa kampeni,  wakati wa kuanza kupiga kura wakala akiwa na malalamiko anajaza fomu namba 14 na fomu namba 16 wakati upigaji kura unapoeendelea  na kama mgombea hakuridhikai anaruhusiwa kwenda mahakamani.


Hivyo makala NEC YAWAJIBU UKAWA

yaani makala yote NEC YAWAJIBU UKAWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEC YAWAJIBU UKAWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/nec-yawajibu-ukawa_12.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEC YAWAJIBU UKAWA"

Post a Comment

Loading...